huwa nakaa na kufikiri sana, hili kosa la udaga nadhani walichomeka tu kumshushia hadhi yake lakini kitu kizuri watz sasa ni waelewa sana, wanadhani tutakubali kama jamaa mtu wa udaga, la hasha, hapa kuna kitu tu wanakitafuta kwake, sasa nadhani kuna mambo yanaendelea chini chini ambayo mie na wewe hatuyajui, waliona wamuingie vipi wakaona hiyo ndio gia, hawa wote ni geresha lengo lao alikuwa ni huyo tu, na sijui kawakosea nini, gazeti, account bank zinahusiana nini na udaga, kama ni kweli, basi ukweli tutaujua kwani muda muda utasemaKwa mujibu wa Mange kimambi ni hivi,Manji yuko ndani,Jambo Leo limezuiliwa kutoka na bank account zote za manji zimezuiliwa na sirikali.
Kuna mambo tulikua tunayasoma kwenye novels tukiwa secondary ILA sasa yanajitokeza kihalisi ndani ya nchi maskini ya pili kutoka chini.
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mimi kama mpenzi wa hili gazeti nina siku ya tatu sasa sijaweza kupata nakala ya hili gazeti. Je nini kimewakumba?
Tafadhali mwenye taarifa ya kupotea kwa gazeti hili anipe taarifa
Nawasilisha.
serikali inapambana na Manji kwa hali na mali.
Gazeti limejipambanua ni la udaku!!!! Huwezi kila siku wewe habari ni ya mtu yule yule tyu!!!!!
Wachapishaji wanasema wamegoma kuchapisha kwa sababu wanaidai kampuni at least 120 milioni. Bank accounts za kampuni zooote za Manji zimefungwa. Ati Financial intelligence unit ya Hazina ipo inazipitia kuhakikisha hakuna pesa yote inayohusiana na dawa za kulevya ilipita humo