Gazeti la HOJA linamilikiwa na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la HOJA linamilikiwa na nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALABASH, Jun 24, 2011.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tafadhalini wana Jf nijulisheni wamiliki na wahariri wa gazeti la HOJA. Nikitizama kwenye ukurasa wenye Editorial naona simu tu bila majina. Ukurasa wa mwisho kabisa kunaonekana Gamanent Publications Ltd wakiwa ndiyo watoaji wa gazeti tajwa. Najaribu kuleta mada hapa jf baadae lakini itakamilika vilivyo kama nitawafahamu wamiliki na wahariri wake.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Gazeti la HOJA kwa kweli ni la kimbuzi sana

  Sijui linamilikiwa na majuha gani na kivipi wanajiendesha

  Hivi Mhariri wake ana elimu gani jamani?
  Waandishi wake wana ujinga wa hali ya juu.
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msikiti
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Dada yangu Merytina,unakuwa kama hujui kwamba sasa hivi uandishi wa habari kikanjanja ndiyo mtoko wa maisha?ninayo kopi ya gazeti hili,nimepata wenge.Tena linathubutu kujiita jina kubwa kubwa,ati gazeti la HOJA...sawa tu na chama cha mapinduzi chenye jina kubwa la 'kimapinduzi" lakini kinatenda kinyume na jina lake,jina lake halisadifu vitendo wala dhamira.Kuna vigazeti vya udaku wa siasa vimeibuka,bora vingechapishwa na kampuni za magazeti pendwa.

  Huwa hatutoi negative incentives kwa waliofeli but tunatoa positive incentives kwa waliofaulu au waliofanya vizuri.Gazeti la Raia Mwema ni miongoni mwa magazeti machache sana yaliyo salama,The citizen andeleeni kuandika analytical stories.Kuna magazeti ambayo yamejipambanua ya kiuanaharakati kumbe ni magazeti ya vyama,na mengine yako too low ni ya kambi fulani ndani ya vyama vya siasa.Watanzania tuwe macho,kuna kipindi nilimuona Mkapa kama mtu mwenye Dharau na kiburi cha kutisha aliposema ana-prefer kuongea na waandishi wa habari wa kimataifa.Kuna waandishi wengi wazuri lakini wanaharibiwa na wengine
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hoja ni gazeti la kama alivyosema The Prophet, wahariri wake ninaowafahamu ni malaria sugu na kishongo
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Hivi popo Lyatonga nae asiwe na kajarida katakako mshiriki??
   
 7. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zawadi kwa CCM toka Marehemu Mheshimiwa Abbas Gulamali (Mb) Yanga Imara. Lilianzishwa 1992 kwenye multiparty election ya kwanza (Enzi za Mrema kibaraka na Marando mamluluki wa CCM wakati huo na NCCR Akiwepo kibaraka mwingine wa CCM muhimu Prince Bagenda). Lina mwelekeo au lina jukumu la kudhalilisha upinzani kama mojawapo ya media muhimu ya CCM. Nakushauri usilinunue kama ninavyokushauri usinunue gazeti la Uhuru wala usisikilize radi uhuru wala Clouds (Ya Manji) kwa sababu lengo lango la pro CCM ni kichefu chefu kinaweza kukuathiri kutafuta haki yako. Besides wanafadhiiwa na ufisadi.

  Ila kwa uchunguzi tu halitolewi regularly mapaka ipikwe story iive. Linazungumzia watu siyo issues. Samahyani mimi ndivyo ninavyolifahamu ila chunguza chukua hatua.
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135


  Hoja ni gazeti la propaganda linalomilikiwa na UVCCM
   
 9. g

  geophysics JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Makala nzuri mzee ila ungetusaidia kujibu HOJA ya gazeti la HOJA ni akina nani ingependeza zaidi... Asante kwa maelezo mazuri.
   
 10. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  GEOPHYISICS: nashukuru kuwakumbusha wana jf kuwa mpaka sasa hawajanipa mwanga kuhusu nani wahariri na wamliki wa gazeti la HQJA. Mfano: ninafahamu RAI na MTANZANIA yanamilikiwa na RA kwa hiyo inanipa nafasi mimi msomaji kuelewa ni kwa nini wanaandika wanachokiandika. Vivyo hivyo kuwafahamu wamiliki na wahariri wagazeti la HQJA kutanisaidia kupata tafsiri ya kwa nini wanaandika wanachokiandika..
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [​IMG] Reply With Quote
  Gazeti ni la umoja wa vijana wa ccm (uvccm) mhariri wake anaitwa Songoro kwa sasa ni diwani wa kata ya Mwananyamala kwa ticketi ya ccm.
   
 12. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kuna mwandishi wake wa habari mmoja niliwahi kumuuliza (about 3 years ago), akaniambia ni gazeti la UWT chini ya usimamizi wa ule mjengo wa pale Magogoni!
   
Loading...