Gazeti la HabariLeo lilivyoripoti juu ya kukamatwa mwandishi Erick Kabendera mwaka 2013

Wanabodi, mimi ni mwandishi wa habari, nimetokea kumfahamu Erick Kabendera, kiukweli kabisa, ni mmoja wa waandishi wa habari, vichwa nchini Tanzania, this guy is very intelligent.

Japo Tanzania tuna media nyingi na tuna waandishi wengi wa habari, lakini ni media chache na waandishi wachache ndio wanaoweza kufanya the real investigating journalism (IJ), Erick is one of them.

Media za Tanzania, nyingi ni media njaa, dholfu bin taaban, zina survive kwa kutegemea matangazo na sio circulation, hivyo haziwezi kupublish serious investigative stories, matokeo yake stories za Eric zinaogopwa hivi haziwi published as a result Erick kulazimimika kupeleka stories zake nje ya nchi.

Ila pia kwa sisi waandishi, japo tunatakiwa kuwa wakweli na kuandika ukweli lakini ukiwa mkweli too much ni tatizo, there is
a price to pay. Stan Katabalo, paid the price, Azory Gwanda paid the price, Ben Saanane paid the price, Generali Ulimwengu paid the price, Aidan Eyakuze is paying the price,; Erick Kabendera is paying the price, hata mimi pia I'm paying the price, mambo ninayopitia sasa only God knows.

P
Stan Bakora kafanyaje na yuko wapi kwa sasa.Sorry niko nyuma kwa swala hili.
 
Yeyoye anayembeza Paskali atakua ni mtoto aliezaliwa juzi, Paskali ana heshima kubwa kwenye jamii na taasisi za Serikali kutokana na kazi yake yenye weledi. Binafsi nikupongeze maana hamna dhahabu isiyopita kwenye moto. pascal Mayalla is a brand not just a name .
 
Wanabodi, mimi ni mwandishi wa habari, nimetokea kumfahamu Erick Kabendera, kiukweli kabisa, ni mmoja wa waandishi wa habari, vichwa nchini Tanzania, this guy is very intelligent.

Japo Tanzania tuna media nyingi na tuna waandishi wengi wa habari, lakini ni media chache na waandishi wachache ndio wanaoweza kufanya the real investigating journalism (IJ), Erick is one of them.

Media za Tanzania, nyingi ni media njaa, dholfu bin taaban, zina survive kwa kutegemea matangazo na sio circulation, hivyo haziwezi kupublish serious investigative stories, matokeo yake stories za Eric zinaogopwa hivi haziwi published as a result Erick kulazimimika kupeleka stories zake nje ya nchi.

Ila pia kwa sisi waandishi, japo tunatakiwa kuwa wakweli na kuandika ukweli lakini ukiwa mkweli too much ni tatizo, there is
a price to pay. Stan Katabalo, paid the price, Azory Gwanda paid the price, Ben Saanane paid the price, Generali Ulimwengu paid the price, Aidan Eyakuze is paying the price,; Erick Kabendera is paying the price, hata mimi pia I'm paying the price, mambo ninayopitia sasa only God knows.

P
!!!
IMG_20190731_153537.jpeg
IMG_20190731_153622.jpeg
 
Si kweli mwananzengo. You will never pay the price while you are in the praise and worship team.
 
tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu
Mkuu Sifi Leo, karibu mtaa huu.
P
Wanabodi, mimi ni mwandishi wa habari, nimetokea kumfahamu Erick Kabendera, kiukweli kabisa, ni mmoja wa waandishi wa habari wachache humu nchini ambao ni vichwa vya ukweli hapa nchini kwetuTanzania, this guy is very intelligent.

Japo Tanzania tuna media nyingi na tuna waandishi wengi wa habari, lakini ni media chache na waandishi wachache ndio vichwa vya ukweli na ndio wanaoweza kufanya the real investigative journalism (IJ), Erick Kabendera is one of them.

Media za Tanzania, kwanza ni media local tuu na nyingi ni media njaa, dholfu bin taaban, zina survive kwa kutegemea matangazo na sio viewership, readership or circulation, hivyo haziwezi kupublish vitu concrete kama investigative stories, matokeo yake stories za Eric zinaogopwa na media njaa za ndani hivyo haziwi published locally as a result Erick kulazimimika kupeleka stories zake nje ya nchi, hivyo huyu sio local journalist, he is an international journalist.

Kiukweli kwenye international media industry, Tanzania tuna waandishi wachache sana wa viwango vya kimataifa, Erick is one among the few and he is among the finest gold kwenye media we have. Ukiondoa Watangazaji wa Tanzania kwenye radio za kimataifa, waandishi Watanzania wenye status ya international correspondents wa international media na multinational media ninaowajua mimi, hawazidi 5 na Eric is among them.

Ila pia kwa sisi waandishi wa bongo, japo tunatakiwa kuwa wakweli na kuandika ukweli, tunapaswa kusema ukweli objectively, lakini ukiwa mkweli too much ni tatizo, na sio kwetu tuu, ni diniani kote.

Ukiwa mkweli sana, there is
a price to pay. Wengi mnakijua kilichomkuta Kashogi, Asange na waandishi wengi wa kimataifa, hata hapa kwetu, tulikuwa na kina Stan Katabalo, paid the price, Azory Gwanda paid the price, Ben Saanane paid the price, Generali Ulimwengu paid the price, Aidan Eyakuze is paying the price, hivyo hiki anachopitia Erick Kabendera is paying the price, and it depends on individual strength kuendelea kuwa mkweli and foot the bill or kiji submit na kuendelea na maisha, hata mimi pia kwa kuwa mkweli kwa kuuliza maswali yoyote kwa yeyote, I'm paying the price on my own way, mambo ninayopitia sasa, mimi na kampuni yangu ya PPR, only God knows.

One thing I'm sure of, 100%, baadhi ya haya mambo sisi waandishi tunayofanyiwa, sio orders kutoka 'juu' na usikuje mengine hata 'juu' hayajui!. Kuna uozo fulani mahali fulani nyeti, sasa ili kuficha udhaifu, ndio wanaotoa orders za kuwashukia waandishi wenye damu ya kunguni, na kusingizia ni amri kutoka juu, kwa sababu wanajua huwezi kuuliza huko juu kwanza utafikaje wakati ngazi za kupandia ndio wamezishika wao.

Mimi kwa ninayopitia, uvumilivu ukinishinda kabisa, kuna siku nitakuja kuibuka mahali na bango na kumuuliza huyo 'juu', kama kweli ni yeye, ndiye anayetoa 'amri kutoka juu' kuwa waandishi wasema kweli watendwe hivyo wanavyotendwa?, na ukitokea kweli kuwa ni yeye, then nitakuwa sina jinsi, ni kujichukulia tuu jembe na kurejea kijijini kuwa mkulima.
#freeerickkabendera.

P
P
 
Emmanuel Nchimhi tena?? Mengi ktk tukio.la jana??

Jamaa wanahisi mshikaji ni CIA, swala.la urai ni visingizio tu baada ya kufeli
Marekani hawana haja ya kuwa na agents kwenye nchi masikinii kwani taarifa zote wazitakazo wanapewa na serikali zenyewe kama masharti ya kupewa misaada. Zaidi ya hapo wana technology advanced ya kupata watakacho bila kutumia binadamu!!
 
Si kweli mwananzengo. You will never pay the price while you are in the praise and worship team.
Mkuu Magelemwa, Tanzania tuko vitani, kuna wapiganaji wa aina mbili, wapiganaji mashujaa, mashupavu wanaoifia nchi yao, na wapiganaji makini, ambao they never fight a loosing battle.

1. Wapiganaji mashujaa na wale ambao motoo yao ni "fight fight fight, no retreat no surrender, fight till the final bullet and the final drop of blood. Hawa wanaingia vitani kupigana tuu kuipigania nchi yao, kazi yao ni kupigana tuu mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike, just fight, don't give up, na ilitokea ukafa, jina litaandikwa kwenye list ya mashujaa wa taifa hili. Kundi hili la wapiganaji mashujaa na mashupavu wakipokea tuu taarifa kuwa inchi imeshambuliwa, huenda mbio kupigana kuilinda nchi yao, hata kama wote watakufa kwa kuwa wiped out, watakufa kishujaa na majina yao yataandikwa kwenye kitabu cha mashujaa wa taifa na watakumbukwa milele.

2.Kundi la pili ni la wapiganaji makini, hawa kwanza hawapeleki jeshi vitani mpaka wajiridhishe kwanza kuwa watashinda vita, motoo yao ni never fight a loosing battle. Hivyo kabla hawajapeleka vikosi vitani, wanafanya infiltration ku determine nguvu ya adui, wakiishajiridhisha kuwa wana uwezo wa kushinda vita ndipo wanapeleka vikosi.vitani.

Na hata huko vitani, wakijiona wanaelemewa, wana retreat, na kama wamezingirwa wana surrender, kuliko kuwa wiped out, na kuitwa mashujaa wafu, wanaamua afadhali wa surrender and remain alive. Hawa watatukanwa na kudharaulika kuwa ni waoga.

Na kama kila siku unapigana nao unashindwa, then unaitumia ile kanuni ya " if you can't beat them, join them".
P.
Rejea

"Ukiwa mkweli sana, there is
a price to pay. Wengi mnakijua kilichomkuta Kashogi, Asange na waandishi wengi wa kimataifa, hata hapa kwetu, tulikuwa na kina Stan Katabalo, paid the price, Azory Gwanda paid the price, Ben Saanane paid the price, Generali Ulimwengu paid the price, Aidan Eyakuze is paying the price, hivyo hiki anachopitia Erick Kabendera is paying the price, and it depends on individual strength kuendelea kuwa mkweli and foot the bill or kiji submit na kuendelea na maisha, hata mimi pia kwa kuwa mkweli kwa kuuliza maswali yoyote kwa yeyote, I'm paying the price on my own way, mambo ninayopitia sasa, mimi na kampuni yangu ya PPR, only God knows."
Pascal kuna Uzi humu unakutuhumu kwa kwa kuchangia kiwango kikubwa katika mateso anayopitia kabendera.Unasemaje?
 
Kwa hiyo namba 2, kumbe upo praise and worship team kusurvive kimwananzengo? Wonders shall never end.
Honestly pima positive impact ya michango yako. Kama mkristo hutakiwa kuwa vuguvugu. Uwe moto au baridi tutakuelewa. Anyway unaitumia haki yako, tuvumiliane tu kwa mtazamo kinzani.
Mkuu Magelemwa, Tanzania tuko vitani, kuna wapiganaji wa aina mbili, wapiganaji mashujaa, mashupavu wanaoifia nchi yao, na wapiganaji makini, ambao they never fight a loosing battle.

1. Wapiganaji mashujaa na wale ambao motoo yao ni "fight fight fight, no retreat no surrender, fight till the final bullet and the final drop of blood. Hawa wanaingia vitani kupigana tuu kuipigania nchi yao, kazi yao ni kupigana tuu mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike, just fight, don't give up, na ilitokea ukafa, jina litaandikwa kwenye list ya mashujaa wa taifa hili. Kundi hili la wapiganaji mashujaa na mashupavu wakipokea tuu taarifa kuwa inchi imeshambuliwa, huenda mbio kupigana kuilinda nchi yao, hata kama wote watakufa kwa kuwa wiped out, watakufa kishujaa na majina yao yataandikwa kwenye kitabu cha mashujaa wa taifa na watakumbukwa milele.

2.Kundi la pili ni la wapiganaji makini, hawa kwanza hawapeleki jeshi vitani mpaka wajiridhishe kwanza kuwa watashinda vita, motoo yao ni never fight a loosing battle. Hivyo kabla hawajapeleka vikosi vitani, wanafanya infiltration ku determine nguvu ya adui, wakiishajiridhisha kuwa wana uwezo wa kushinda vita ndipo wanapeleka vikosi.vitani.

Na hata huko vitani, wakijiona wanaelemewa, wana retreat, na kama wamezingirwa wana surrender, kuliko kuwa wiped out, na kuitwa mashijaa wafu, wanaamua afadhali wa surrender and remain alive. Hawa watatukanwa na kudharaulika kuwa ni waoga.

Na kama kila siku unapigana nao unashindwa, then unaitumia ile kanuni ya " if you can't beat them, join them".
P.
Rejea

Nilishawahi kujiuliza, Mbona huyu Paschal tuko naye kila siku humu? Hapitwi na habari humu, ni sababu ya kuipenda Jf tu hata kama siku hizi imejaa hoja ndogo ndogo!?

Kumbe ni kwa sababu you are paying the price!! Pole sana, yana mwisho haya!
Pinduapindua ili upate second thought; aweza kuwa alipwa PRICE ya kuwa humu
 
Emmanuel Nchimhi tena?? Mengi ktk tukio.la jana??

Jamaa wanahisi mshikaji ni CIA, swala.la urai ni visingizio tu baada ya kufeli
Soma na kutafakari usikurupuke kubonyeza herufi. Matatizo ya uraia wa Kabendera hayajaanza juzi ndiyo makala hii imeahirisha hivyo.
 
Mkuu nisikitika na kusononeka hujaonekana jamvini toka kabendera atiwe msukosuko,

au ndo umekula shavu, uko na watesi mnagonga mvinyo?? Hebu jitokeze tukusikie. kimya chako kinatutia shaka tuamini yanayosemwa juu yako ni kweli

Back
Top Bottom