tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,671
- 19,186
Pole sana mkuu hii awamu sijui inataka isifiwe tu bila kukosolewa wakti imejaa uozo mwingi sana,unajenga miradi mikubwa huku uchumi ukiwa hoi halafu utakae wananchi wasifie tu.
Mfano mdogo ni mabilioni kujenga airport na kuzindua hifadhi huko wananchi wa mkoa huo wakiwa hoi kimaisha
Mfano mdogo ni mabilioni kujenga airport na kuzindua hifadhi huko wananchi wa mkoa huo wakiwa hoi kimaisha
Wanabodi, mimi ni mwandishi wa habari, nimetokea kumfahamu Erick Kabendera, kiukweli kabisa, ni mmoja wa waandishi wa habari, vichwa nchini Tanzania, this guy is very intelligent.
Japo Tanzania tuna media nyingi na tuna waandishi wengi wa habari, lakini ni media chache na waandishi wachache ndio wanaoweza kufanya the real investigating journalism (IJ), Erick is one of them.
Media za Tanzania, nyingi ni media njaa, dholfu bin taaban, zina survive kwa kutegemea matangazo na sio circulation, hivyo haziwezi kupublish serious investigative stories, matokeo yake stories za Eric zinaogopwa hivi haziwi published as a result Erick kulazimimika kupeleka stories zake nje ya nchi.
Ila pia kwa sisi waandishi, japo tunatakiwa kuwa wakweli na kuandika ukweli lakini ukiwa mkweli too much ni tatizo, there is
a price to pay. Stan Katabalo, paid the price, Azory Gwanda paid the price, Ben Saanane paid the price, Generali Ulimwengu paid the price, Aidan Eyakuze is paying the price,; Erick Kabendera is paying the price, hata mimi pia I'm paying the price, mambo ninayopitia sasa only God knows.
P