Gazeti la Habari Leo na The Daily News kutoripoti habari za Lissu za jana kunaashiria nini?

mcfm40

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,452
3,150
Uhuru wenyewe wameripoti japo kwa kuipa umuhimu mdogo. Cha ajabu magazeti ya serikali haya hayana habari yoyote kumhsus Lissu, je hii si kuwanyima haki wasomaji wake? Taarifa kubwa kama ile unaachaje kuitoa "fent fod" kwa mfano? Hii ina maanisha msomaji wa haya magazeti akitaka kuipata habari ya Lissu atalazimika kununua magaze4ti mawili ili tu aipate hiyo habari.

Uongo mbaya, watu wengi wanatamani kusikia hali ya Lissu ikoje, wawe wale wabaya wake au sisi tunaomtakia mema. Sasa gazeti kubwa kama daily news au habari leo kutoipa habari hiyo uzito hata mdogo kama walivyofanya uhuru, ni kuzidi kuconsolidate ile dhana kwamba serikali inahusika na shambulio dhidi ya Lissu, na hivyo iko guilty.

Najua gazeti halilazimishwi kuandika habari yoyote lakini hii ya Lissu ina special circumstances na ni ngumu kuikwepa bila kuibua miguno! Kwa hivyo niseme basi hivi vyombo vya habari hivi vimefanya kosa la kiufundi ambalo linaitia doa serikali wakati kosa hili lingeweza kuepukwa!

Hivi kwa wale mnaotazama TBC hivi wao hii habari ilikuwa kwenye taarifa yao ya habari?
 
achana nalo, hivi bado mnasoma hayo magazeti
Wala siwezi kununua gazeti kama hilo, bali nilikuwa naperuzi kupitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo mitandaoni nikagundua kwamba that important news is conspicuosly missing in the "fent fod" of those two national dailies!
 
Hilo gazeti wengine hatuna habari nalo....
Mleta uzi achana nalo

Ova
 
Mkuu hii nimeileta tu ili watu waweze kuunganisha dots. somethinh is wrong somewhere.
Mbona hilo linajulikana kitambo tu!Ila soon ukweli utawekwa hadharani
Acha tuendelee kulitumia gzeti Hilo kufungia vitumbuaa tu

OvA
 
h

haha, wameshindwa kabisa kujificha. matendo yao yanawadhihirisha!
 
Kwa kuacha kuandika hiyo habari hayo magazeti yanatufanya tuamini zaidi na zaidi madai ya Mbowe kwamba serikali inahusika. Hakuna sababu ingine ingewafanya wasiiandike.
 
Hiyo habar ni ya kisiasa ndo mana wameitupa kwa choo...lissu ni nan kwa tz....
 
Uhuru wenyewe wameripoti japo kwa kuipa umuhimu mdogo. Cha ajabu magazeti ya serikali haya hayana habari yoyote kumhsus Lissu, je hii si kuwanyima haki wasomaji wake? Taarifa kubwa kama ile unaachaje kuitoa "fent fod" kwa mfano? Hii ina maanisha msomaji wa haya magazeti akitaka kuipata habari ya Lissu atalazimika kununua magaze4ti mawili ili tu aipate hiyo habari.

Uongo mbaya, watu wengi wanatamani kusikia hali ya Lissu ikoje, wawe wale wabaya wake au sisi tunaomtakia mema. Sasa gazeti kubwa kama daily news au habari leo kutoipa habari hiyo uzito hata mdogo kama walivyofanya uhuru, ni kuzidi kuconsolidate ile dhana kwamba serikali inahusika na shambulio dhidi ya Lissu, na hivyo iko guilty.

Najua gazeti halilazimishwi kuandika habari yoyote lakini hii ya Lissu ina special circumstances na ni ngumu kuikwepa bila kuibua miguno! Kwa hivyo niseme basi hivi vyombo vya habari hivi vimefanya kosa la kiufundi ambalo linaitia doa serikali wakati kosa hili lingeweza kuepukwa!

Hivi kwa wale mnaotazama TBC hivi wao hii habari ilikuwa kwenye taarifa yao ya habari?

Kwani Tundu Lisu ni Babako? Au una hati miliki naye?
 
Wala siwezi kununua gazeti kama hilo, bali nilikuwa naperuzi kupitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo mitandaoni nikagundua kwamba that important news is conspicuosly missing in the "fent fod" of those two national dailies!

Tunanufaika sana na hayo magazeti yasingekuwepo tusingepata vya kufungia vitumbua huko kitaa
 
Back
Top Bottom