Gazeti la Daily News ni kichefuchefu. Kila siku front page ni JPM ......

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,480
35,372
Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema.
Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo.
Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too much. Yanatuboa sisi wasomaji.
 
Na kila siku unalisoma ....au ni magazeti ya bure ya ofisini/kijiweni maana kama unanunua kwa pesa yako kwanini uteseke
 
Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema.
Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo.
Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too much. Yanatuboa sisi wasomaji.
Wewe pia una lihaba
 
Siku hizi hakuna habari yoyote kwenye media karibu zote zaidi ya kusifia na kuabudu mfalme j
 
Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema.
Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo.
Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too much. Yanatuboa sisi wasomaji.
Ukiwa Matawala anaependa kusifiwa hata kwa mambo ya kijinga ujue mtawala huyo hana uwezo
 
Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema.
Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo.
Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too much. Yanatuboa sisi wasomaji.

Si hilo gazeti linaandikwa katika lugha ya mabeberu ??.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom