Gazeti la Daily News ni kichefuchefu. Kila siku front page ni JPM ......

Lingine hili
IMG_20201217_081031.jpg
IMG_20201217_081025.jpg
 
Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema.
Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo.
Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too much. Yanatuboa sisi wasomaji.
Anzisha la kwako, na wewe ufanye hivyo. Halafu lipeleke sokoni, no objection.
 
Back
Top Bottom