Gazeti la Daily Mail yauita Uwanja wa Taifa Dsm kama "Nairobi City Stadium"

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg


Gazeti kubwa Uingereza la Daily Mail limetangaza mechi ya Gor Mahia VS Everton mubashara kupitia tovuti Yake .

Kitu cha kushangaza ni kuuita uwanja wa Taifa wa Tanzania kama "Nairobi City Stadium" ,na sio kimakosa kwani wameuita hivyo mara zote walipoutaja . Je , unadhani tatizo ni nini hasa hadi makosa haya yanatokea ? Nani wakulaumiwa ?? Sportpesa Tanzania?Au sisi wenyewe kama nchi hatajaitambulisha vyema nje ya mipaka yetu.

Hawa Waingereza ina maana wakati wote hawajui kama Everton ipo Dar Es Salaam na si Nairobi?Hivi timu za Tanzania ilikuwaje sikadharau michuano hii na kuiachia Gor Mahia toka Kenya kuubeba ubingwa kiwepesi?Tunajambo la kujifunza
 
Wakulaumiwa ni ss wenyewe, Everton inacheza na Gor Mahia ya Kenya katika ardhi ya Tanzania
Obvious watakuwa wanajua wanachezea Kenya na sio Tanzania

Sent from my SM-A7000 using JamiiForums mobile app
Upo sahibi mkuu
 
Hilo gazeti hovyo kabisa jana wameliita Dar kuwa ni FISHING VILLAGE , kumbe waandishi wavivu siyo tu akina Salva ata huku wapo wengi tu . Aya bana wazee wa fishing village endeleeni kuvua makenikia.
Hebu wafuate apo ofisin uwatolee povu hawawezi kutudhalilisha hivi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom