Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

Status
Not open for further replies.
Ah Mukandara, sidhani kama ni muhimu kwenda kwenye arguments za Ukristo vs Uislam au Makristo vs Waislam kwenye hii thread. Nahisi wewe ni muumini wa dini ya kiislam reasonable, na kama ni hivyo ni lazima utakuwa unakubaliana na mimi kwamba lile gazeti la an-nuur wanavuka mipaka ya uhuru wa maoni kikatiba. Kama huwezi kuliona hilo basi hakuna tumaini kabisa miongoni mwa jamii ya watanzania wenzetu waislam. Kila muislam yeyote sensible anapaswa kukataa ideologies za hawa watu wa an-nuur. Hawako realistic, hawako kiamani, hawako kiislam. Hawatetei maslahi ya waislamu bali wanataka kutumia jukwaa la dini ya kiislamu kujijengea cheap popularity kwa migongo ya waislamu wachache wanaopandikizwa hisia za kujihisi wanaonewa na serikali au wakristo. Jamani mbona hii serikali ni yenu nyie waislam? na mbona wakristo ni ndugu zenu, jirani zenu, wanapanga kwenye nyumba zenu, mnapanga kwenye nyumba zao, wananunua kwenye maduka yenu na mnanunu kwenye maduka yao? Hamuoni kwamba hawa an-nuur si watu wema kwa pande zote mbili?
Mkuu Zimmerman, mbona kwenye habari yako hakuna sehemu yoyote waliotajwa wakristo kama walengwa sasa hawa wenzio hizi comments zao zinatoka wapi? Mbona wasio waislamu ni zaidi ya wakristo, tena iliyolengwa ni Serikali, je nyie wakristo mnaepingana na ulichoposti kwa mujibu wa Annur ni Serikali au ndo mnaowazuilia waislamu hata wakaazimia kufanya hivyo? read btn the lines plz!
 
Tusilaumiane, hawa wakora tatizo lao kubwa ni shule , huo ugaidi wataanzia huko misikitini kulipuana.
watu wasio nashule lakini wanshikilia asilimia 80 ya ngazi zote za juu kabisa katika serikali zote mbili za nchi hii! kuanzia rais, makamu wa rais, rais wa zanzibar, makamu wa kwanza wa rais zanzibar, na makamu wa pili wa rais zanzibar- hivi hawana shule kweli hawa? acheni usongombwingo!


siku chadema aka chama kritu kitakpo shindwa uchaguzi Igunga nitatembea uchi nchi nzima
 
Lakini mkuu wangu sii wewe ndiye ulosema Waislaam wanafikiri dini yao ni bora kuliko zote? kwa nini umefikiria hivyo wakati unajua fika kwamba hata wakristu wanafikiri dini yao ni bora kuliko zote.. Hili la kufikiri kwa watu kwa nini unalifanya kuwa hoja yako! sasa umejibiwa unaanza kusema waislaam hivi na vile lakini ndani ya roho yako hata wewe unaamini dini yako ni bora kuliko zote na siwezi kukuuliza wala kusema kwa sababu najua ndivyo unavyofikiria..Nikikuuliza nataka kuonyesha watu jinsi ulivyokuwa na makosa hali hata mimi nafikiri dini yangu ni bora kuliko yako.. huoni kama unacheza mchezo mbaya!
<br />
<br / Nimezungumzia hivyo kwa sababu mimi kama mimi sijawahi kuidharau dini ya mtu yeyote na pia sijawahi kuingia kanisani kwenye misa na kumsikia padri au askofu akiikandia dini ya kiislamu sana sana hutusisitizia kuishi kwa amani na upendo pasipo kujali tunaishi na watu wenye imani ipi! Hayo ndio mafundisho ninayopata mara kwa mara kutoka kwa viongozi wangu.
 
Mkuu wangu wala sintachoka kukufahamisha.. Kuran haihusiani kabisa na elimu dunia, tunazungumzia vitu viwili tofauti.. Kuran ni elimu ya kiroho haihusiani na Mataifa ya Wachina, wahindi au waafrika kwa hiyo unapochanganya vitu jaribu kuchuja pia. Waarabu kweli walituletea DINI ya Kiislaam na hao hao pia walituletea mwanzo elimu dunia ambayo haihusiani na dini. Huu ndio ukweli ambao hutaweza kuubadilisha.

Samahani mkuu umechapia,KURAN NA MAMBO YA KIROHO ? mbona ni GIZA NA NURU, hata Allah anajua hivyo kuwa yeye mambo ya kiroho alikuwa zero na hakumpa mohamad hata kidogo kwani alikuwa hana,leo inawezekanaje Quran iwe elimu ya mambo ya KIROHO ???
 
<br />
<br /
Na wewe pia hapa huna hoja za msingi hiyo mistari yako kawakusanye mabichwa maji wenzio hukooo mtaani kwenu wasiojua nini kimemaanishwa na nini hasa maana ya uislamu,kwanza nina mashaka na imani yako juu mwenyezi mungu!kwa hiyo waachie wanaojua nini maana ya uislamu!
4:84 Then fight in Allah’s cause—thou art held responsible only for thyself—and rouse the Believers. It may be that Allah will restrain the fury of the Unbelievers; for Allah is the strongest in might and in punishment.
 
hata kama huwezi kuprove kisayansi, lakini kunatofauti kubwa kati ya mungu wa wakritu(yesu) na mungu wa waislaam, mungu maana yake ni nguvu inayoweza isyowezwa, mungu hakuzaa wala hakuzaliwa, na wala hajafanana na kitu chochote, pia yu hai milele, hali, hanywi, na wala hana sifa yoyote ya udhaifu wa kibinadamu pia hawezi kuonekana kwa macho ya kawaida. ukiangalia sifa hizi yesu mungo wa kristo hana, kwanza alizaliwa na binadamu, pia alikuwa anakula, kunywa, kunya halafu alikuwa na udhaifu wa kibinadamu kama vile kuhisi njaa, na kuhamaki alishindwa na nguvu za kibinadamu pale alipokubali kufa kwa kipigo kama bibilia invyosema lakini kubwa zaidi alitomaswatomaswa na kahaba hata akamsifu na kujisikia raha. kwa kweli wakristo mmesoma lakini kitendo cha kuamini binadamu ni mungu hamna tofauti na wanoamini ngo'mbe ni mungu eti kwa sababu tu anatoa maziwa. sitasha nikisikia siku moja mnaamini kuwa mavi ni mungu kwa sababu huwa yanavadilika rngi kulingana na msosi!

bora imani juu ya Uuungu wa Yesu kuliko juu ya Allah na mtume wake
 
Vipi kuamini allah ni mungu na mtume muddy mbakaji na mwizi ni mtume wa mungu?Hakika mungu wenu-allah ni dhaifu sana kiasi kwamba viumbe vyake "majini" alivyoviumba kwa moto vinaliogopa jina la Yesu ambaye wewe kwa kutokuwa na akili unasema ni mwanadamu!Njoo na majini yako kanisani uone kama yatakuruhusu hata kuingia!
allah ni neno la kiarabu maana yake mungu hivi wewe pamoja na usomi wako unashindwa kutofautisha kati ya mungu na God? mungu wa waislaam huwezi kumjua mtu kama wewe unayeamini binadamu mwenzio ndio mungu wako! wenzio kanisani wanatumia nguvu za giza kwa kutoa makafara kwa hayohayo majini kupitia the freemasony wewe unajipeleke tu huko, kesho moto! si unasikia wanvyotuhumiana ufisadi kanisani? muumini mwenye nguvu za mungu anakuwa fisadi? muhamadi wewe huwezi kumjua labda uje madrasa ufahamishwe kwa ufasaha.qurani haisomwi kama bibilia unyoijua wewe. majini hata kwenye bibilia yapo ymeelezewa kiundani tu! utofautishe kati ya uislaam na mambo ya kidunia, ndani ya usilaam hakuna mafunzo ya watu kufuga majini. usilaam unalenga kuwakataza watu mabaya na kuwaamrisha mema
 
Wale waliompiga mkuu wa wilaya, si waliambia na padre wao wafanye hivyo tena kwa mwana mama wangekuwa wa maana wangeshughulika na wanaume shame on them
Acha kuchanganya siasa na dini.tetea wito wa masheikh wenu na waache wenye siasa wafanye siasa vinginevyo nyamaza.
 
Huwezi amini Uungu wa YESU hadi ufunguke toka kwenye mduara wa dini yako,Imani juu ya Uungu wa YESU inategemea uwezo wako wa kufikiri na kutafakari yahusuyo Mungu. Kama unamwamini YESU huna namna ya kutoamini Uungu wake,lakini kama humwamini yesu THEN ukaamini kwamba ni Mungu utakuwa hamnazo,Biblia imenukuu maneno ya YESU mwenyewe kuthibitisha Uungu wa YESU. Emanuel...MUNGU PAMOJA NASI

Hallelujah...

Huwezi ukaamini YESU ni Mungu ukaendelea kuwa Mwislam kama vile Huwezi ukaamini Kuwa ALLAH Ndiye muumba wa Mbingu na ardhi na Mohamad ni mtume Ukaendelea kuwa Mkristo. Ni budi kabla ya kuamini moja kati ya hayo inabidi ulikane moja
YESU kasema wapi?...Haitoshi nifungue macho, ukiweza kesho nitakwenda kanisani Kubatizwa!
 
Abdulhalim, kwenye hili la elimu imeanzia wapi naomba nikupige darsa kidogo la historia. Hakuna ubishi juu ya Mungu kumuumba Adam, mpaka kizazi za Ibrahim aliyemzaa Ismaili (Ishamel) ambae ni mwana wa ndoa kwa kizaa na kijakazi wa mkewe Sarah aliyeitwa Hagai. Ismaili ndie baba wa Waislamu wote. Ibrahim akapata mtoto kwa mkewe Sarah na kumwita Isaka, (Ishaq) ambae ndiye baba wa Wakirtu wote. Tangu uumbwaji wa dunia hii yote hayo yalifanyika eneo la Mashariki ya Kati, bara Arab yaani Uarabuni na ndiko chimbuko la Elimu hii ya wazungu. Hata hizi namba za moja mbili tatu ni number za kiarabu. Hizi alphabeti za abcd nazo pia ni aphabeti za kiarabu.

Baada ya elimu hii ya Arabuni ndipo zikafuatia elimu za Wayunani na dola ya kale ya Rumi ambako wao walikuja na namba zao za kirumi, lugha ya kilatini lakini walitumia alphabeti za waarabu.
...

Mkuu Pasco, heshima kaka. Naomba nichangie kidogo kwenye mawazo yako kama ifuatavyo:-

Hapo kwenye
red: Si kweli kwamba Ismaili ndie baba wa waislamu wote. Uislamu ulikuja miaka mingi baada ya Ismaili na wa kwanza mwenye kusilimu duniani ni Mtume Mohamad; mwenye kupinga hili na ajitokeze. Hata hivyo, kwa kuwa wanadamu wote duniani hawatokani na Ismaili, si sahihi kusema ndiye baba wa waislamu wote. Je, tuseme Ismaili ni baba wa waislamu wa ki-China, ki-Indonesia, ki-Malay, n.k.? Siyo sahihi.

Hapo kwenye
green: Kama ilivyo kwa Ismaili, si sahihi kusema Isaka ndiye baba wa wakristo wote. Labda ungesema wayahudi wote (kwa jinsi ya kimwili) wametokana na Isaka angalau ingeleta maana lakini si wakristo wote labda kama ulimaanisha uzao wa kiroho! Tofauti na wengine, wakristo "wanapata haki" ya kuwa uzao (na hivyo wana) wa Ibrahimu (baba yake Isaka) kwa Imani katika Yesu Kristo na uzao huu si wa damu na nyama bali uzao wa kiimani na imani ni suala la rohoni. Maanake tusipoweka vizuri hapa wale walio wa shetani ambao kwao "uzao" wanawaza tupu ya kiume na kike hawakawii kulibatilisha neno kwa upotevu wao wenyewe.

Hapo kwenye
brown: Nakubaliana na wewe kwa 100%. By then Mashariki ya Kati na Uarabuni yote ilikuwa na ustaarabu wa hali ya juu na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia pengine kushinda maeneo mengine ya dunia. Tangu ujenzi wa mapiramidi, maktaba, vyuo vikuu, n.k. Lakini baada ya kuja Mtume na watu wake tunaona ghafla maendeleo yote yalipotea hadi walipoibuka tena wagiriki na maeneo mengine ya dunia kwa maendeleo ya kisasa.
 
YESU kasema wapi?...Haitoshi nifungue macho, ukiweza kesho nitakwenda kanisani Kubatizwa!

Are muslims educable ? Najua mmefundishwa kuhifadhi/kukariri,mie nitaweza ? nilikuwa nakujibu maswali yako,kama hiyo haitoshi uliza ujibiwe,kwa bahati mbaya kwako nimeuishi Uislam kwa miaka 23, mwenzio nilikuwa kila ninachoambiwa nachanganya na yangu then naendelea kutafakari, hata mimi nilikuwa ZUZU juu ya YESU na UUNgu wake kama wewe. Isipokuwa niliamua kusoma na kuuliza maswali nika hitimisha YESU is all in all...Wengine ni utapeli tu. Endelea tuu nkuu wangu lakini nakushauri tafuta Elimu juu ya imani zote kwa uwazi na moyo safi hakika huwezi kufa ukiwa Mwislam. Uislam utadumu kwa kukaririsha na kupuuzi kweli zingine.Siku mashekhe wakifundisha kweli tupu na kuruhusu uhuru wa DINI,Uislam kwisney kwani wote wenye nia na uwezo wa kufikiri wataiona kweli nayo kweli itawaweka HURU.
 
Ndomana tunasisitiza kupeleka watoto shule wakaelimike na kuondoa ukungu kichwani kama wa mhalili wa hilo gazeti. Nafikiri alipata mafunzo ya elimu akhera peke yake bila kuchanganya na elimu dunia,vinginevyo asingeruhusu habari kama hiyo kwenda hewani
 
Naheshimu mchango wako, lakini naona umejaa fantastic myths zaidi kuliko historical facts. Kwanza walojenga mapyramids sio waarabu. Pili stori ya Adam na Hawa inaishi hewani tu na haina mashiko yoyote, do u want to sink into the level kwamba binadamu juu ya dunia ameishi miaka 6000 tu? Ushahidi wa kisayansi unaonesha kinyume. Rejea libary, jipange upya uje kivingine. Asante lakini.

Kumbe Abdulhalim upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo mno ee? Hata alichoongea Pasco hukukielewa, pia hujui kwa nini hizo aeiou unaziita herufi za irabu, inavyoonyesha pia hujui kuwa alphabetical imetokana na Alif Bee Tee Cee ambazo ni purely arabic harf. Sikuwahi kufikiria kuwa ni mdogo hivyo kiupeo. Any way-ndo jf mkuu, jielimishe pia kupitia kwayo.
 
Are muslims educable ? Najua mmefundishwa kuhifadhi/kukariri,mie nitaweza ? nilikuwa nakujibu maswali yako,kama hiyo haitoshi uliza ujibiwe,kwa bahati mbaya kwako nimeuishi Uislam kwa miaka 23, mwenzio nilikuwa kila ninachoambiwa nachanganya na yangu then naendelea kutafakari, hata mimi nilikuwa ZUZU juu ya YESU na UUNgu wake kama wewe. Isipokuwa niliamua kusoma na kuuliza maswali nika hitimisha YESU is all in all...Wengine ni utapeli tu. Endelea tuu nkuu wangu lakini nakushauri tafuta Elimu juu ya imani zote kwa uwazi na moyo safi hakika huwezi kufa ukiwa Mwislam. Uislam utadumu kwa kukaririsha na kupuuzi kweli zingine.Siku mashekhe wakifundisha kweli tupu na kuruhusu uhuru wa DINI,Uislam kwisney kwani wote wenye nia na uwezo wa kufikiri wataiona kweli nayo kweli itawaweka HURU.
Nimekuuliza swali rahisi kabisa msomi wewe - Ni wapi Yesu kasema yeye ni Mungu?.. maana kama ni biblia hata mimi ninayo hapa tusome sote..
Halafu kibwagizo kidogo tu Kama unaamini Yesu alikufa msalabani na kufufuka, siku alokufa ni nani alikuwa Mungu wetu maanake Mungu kafa!
 
Mkuu Pasco, heshima kaka. Naomba nichangie kidogo kwenye mawazo yako kama ifuatavyo:-

Hapo kwenye
red: Si kweli kwamba Ismaili ndie baba wa waislamu wote. Uislamu ulikuja miaka mingi baada ya Ismaili na wa kwanza mwenye kusilimu duniani ni Mtume Mohamad; mwenye kupinga hili na ajitokeze. Hata hivyo, kwa kuwa wanadamu wote duniani hawatokani na Ismaili, si sahihi kusema ndiye baba wa waislamu wote. Je, tuseme Ismaili ni baba wa waislamu wa ki-China, ki-Indonesia, ki-Malay, n.k.? Siyo sahihi.

Hapo kwenye
green: Kama ilivyo kwa Ismaili, si sahihi kusema Isaka ndiye baba wa wakristo wote. Labda ungesema wayahudi wote (kwa jinsi ya kimwili) wametokana na Isaka angalau ingeleta maana lakini si wakristo wote labda kama ulimaanisha uzao wa kiroho! Tofauti na wengine, wakristo "wanapata haki" ya kuwa uzao (na hivyo wana) wa Ibrahimu (baba yake Isaka) kwa Imani katika Yesu Kristo na uzao huu si wa damu na nyama bali uzao wa kiimani na imani ni suala la rohoni. Maanake tusipoweka vizuri hapa wale walio wa shetani ambao kwao "uzao" wanawaza tupu ya kiume na kike hawakawii kulibatilisha neno kwa upotevu wao wenyewe.

Hapo kwenye
brown: Nakubaliana na wewe kwa 100%. By then Mashariki ya Kati na Uarabuni yote ilikuwa na ustaarabu wa hali ya juu na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia pengine kushinda maeneo mengine ya dunia. Tangu ujenzi wa mapiramidi, maktaba, vyuo vikuu, n.k. Lakini baada ya kuja Mtume na watu wake tunaona ghafla maendeleo yote yalipotea hadi walipoibuka tena wagiriki na maeneo mengine ya dunia kwa maendeleo ya kisasa.

Kasome tena mkuu,
Kawaulize waislamu ni kwanini wana wanafanya ibada ya kuchinja katika ile sikukuu ya Dhul-Haji, ni nani aliyekwambia Uislamu ulianzishwa na Muhammad, Je ni kwanini kama yeye ndo mwanzilishi anaambiwa afuate mila(tabia za Ibrahim) kwa yeye alikuwa miongoni mwa waislamu

Pia hebu kasome historia ya Red Sea, Cordoba University, then ulinganishe mbinu zinazotumiwa sasa za western kudhoofisha eastern na zile zilizotumiwa enzi hizo then ulete majibu apa.
 
Nimekuuliza swali rahisi kabisa msomi wewe - Ni wapi Yesu kasema yeye ni Mungu?.. maana kama ni biblia hata mimi ninayo hapa tusome sote..
Halafu kibwagizo kidogo tu Kama unaamini Yesu alikufa msalabani na kufufuka, siku alokufa ni nani alikuwa Mungu wetu maanake Mungu kafa!
Sina majibu yasiyo sahihi mkuu
 
<br />
<br / Nilisema nyie ni watu wa vinyongo sana na wewe umedhihirisha hilo,nani kakwambia njia pekee ya kuondoa dhuluma ni vita? Kwanza hiyo dhuluma mnafanyiwa na nani? Na hiyo vita mnataka mpigane na nani? nyie subirini tu mtakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe.
ila njia ya kuondoa dhuluma ni peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
NDUGU ZANGU TUTUMIE HEKIMA ZAIDI KATIKA KUTOA MICHANGO YETU. MITANDAO KAMA HII ITAKUWA NA FAIDA KUBWA SANA KAMA TUTAKUWA TUNAJADILI MAMBO YATAKAYOTULETEA MAFANIKIO KATIKA TAIFA LETU. NDUGU ALIYETULETEA HABARI KUTOKA KATIKA GAZETI LA ANNUUR HAJATWAMBIA KICHWA CHA HABARI KILIVYO BADALA YAKE KATULETEA KIJIPANDE CHA HABARI HIYO. NAWASIKITIKIA WATANZANIA KWA KUTOKUWA NA UTAMADUNI WA KUJISOMEA, WENGI WETU HAWAFAHAMU HISTORIA YA MAPAMBANO YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA. MZEE BILALI REHANI WAIKELA NI MMOJA KATI YA TOP 5 YA WAASISI WA TANU MKOANI TABORA. ALIKUWA BEGA KWA BEGA NA WAPIGANIA UHURU WENGINE HADI MUINGEREZA ALIPOSALIMU AMRI 9 DESEMBA 1961. KINACHOMSIKITISHA MZEE WAIKELA NI KWAMBA, WAISLAMU NDO WALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA MAPAMBANO YA UHURU LAKINI WAMETENGWA NA SERIKALI KATIKA MAMBO MENGI SANA{HUU NI UKWELI AMBAO WATU WENGI WAKIUSIKIA HUWA WANAKUWA WAGUMU SANA KUUKUBALI, LAKINI WATAFITI HUUKUBALI KWA SABABU WAO HUSOMA NA KUPIMA KILE KILICHOTAFITIWA NA MWENZAKE KISHA HUUKUBALI UKWELI. LAKINI WALE AMBAO TAYARI MASIKIO YAO WAMEYAFUNGA NA HAWATAKI KUSIKIA ZURI LOLOTE LA UISLAMU, BASI WATU KAMA HAO HUJITIA UCHIZI WA KUKATAA UKWELI}. UKWELI UTABAKI PALEPALE KWAMBA WAISLAMU NDO WALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUTAFUTA UHURU. KAMA WEWE UTABISHA UTAKUWA NI PEKE YAKO TU, KATIKA NUKUU NYINGI ZA MWALIMU NYERERE ZINAZORUSHWA KATIKA REDIO YA TAIFA, MWALIMU HUWA ANAELEZA UKWELI NAMNA WAISLAMU WALIVYOKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUTAFUTA UHURU {REJEA HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU ANANG'ATUKA MWAKA 1985}.


SIPENDI KUZUNGUMZIA HISIA, NAPENDA KUZUNGUMZIA MAMBO YA KISOMI ZAIDI. UTAFITI NI MUHIMU SANA KATIKA JAMBO LOLOTE, NDUGU YANGU KAMA WEWE NI MTAFITI NAKUOMBA USOME VITABU VIFUATAVYO; 1.JUSTICE-RIGHTS&WORSHIP, RELIGION AND POLITICS IN TANZANIA By REDET. KINAPATIKANA PALE REDET OFISINI UDSM, 2. MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES, HISTORIA ILIYOFICHWA KUHUSU HARAKATI ZA WAISLAMU DHIDI YA UKOLONI WA WAINGEREZA KATIKA TANGANYIKA, BY MOHAMED SAID, KINAPATIKANA BOOKSHOP MBALIMBALI DSM HUSUSANI IBN HAZIM NJE YA MSIKITI WA MTORO DSM, 3. HISTORIA YA KUHUISHA UISLAMU TANZANIA 700-2009, BY IPC KINAPATIKANA SHULENI UBUNGO ISLAMIC NA KATIKA BOOKSHOP ZA KIISLAMU, 4. MUSLIMS AND THE STATE IN TANZANIA, BY Prof.HAMZA M. NJOZI, KINAPATIKANA KATIKA BOOKSHOP ZA KIISLAMU PIA CHUONI MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO, 5. THE PARTNERSHIP TANGANYIKA-ZANZIBAR UNION 30 TURBULENT YEARS, BY RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR MHE.ABOUD JUMBE, NINA MIAKA SIJAKIONA MADUKANI, LAKINI KIPO KATIKA MAKTABA ZA VYUO VIKUU NA PIA KWA WAHADHIRI WA HISTORY VYUO VIKUU.


WAISLAMU WA TANZANIA WANAISHI KTK HALI NGUMU KM ILIVYOKUWA KWA BLACK AMERICANS KULE USA. HAKUNA ALIYEWASIKILIZA, KILA WALIPOLALAMIKA WALIBEZWA, KUTENGWA NA HATA KUULIWA KWA WANAHARAKATI WAO KM MALCOM X NA WENGINEO. WALIONEKANA NI WAONGO KATIKA MADAO YAO, LAKINI LEO HAKUNA ANAYEBISHA KWAMBA WALIDHULUMIWA, KUBAGULIWA NA HADI KUUAWA KM WALIVYOULIWA WAISLAMU MWEMBECHAI MWAKA 1998 FEBRUARI, MASHEKHE WAMEWEKWA NDANI BILA SABABU ZA MSINGI HATIMAYE IKAWA NDO SABABU YA KUFA KWAO MFANO MDOGO NI SHEIKH KASSIM BIN JUMAA ALIYEKUWA IMAM WA MSIKITI WA MTORO JIJINI DSM.

NI JAMBO LA HATARI SANA KM KUNDI MOJA KATIKA NCHI LINALALAMIKA LAKINI SERIKALI NA WATU WENGINE WANAWAPUUZA BILA HATA KUFANYA UTAFITI WA MALALAMIKO HAYO.

NUGU ZANGU NGOJA NIWAACHE MTAFUTE MAREJEO HAYO ILI MUWEZE KUJIONEA WENYEWE KISHA TUJADILI KITAALAMU BILA JAZBA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom