Gazeti la an nnur kufutwa/ kufungiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la an nnur kufutwa/ kufungiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kuthumiwa haule, Jan 19, 2011.

 1. k

  kuthumiwa haule Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na mwenendo wa gazeti hili kuna kila dalili za gazeti hili la kiislam kufutwa au kufungiwa kwani limeonyesha dhahiri bila ya uficho kuwa na mwelekeo wa kichochezi , mwelekeo wenye kuamsha na kujenga hisia kali za kidini hasa kwa waislam ambao kwa miaka mingi wamekuwa ni watu wenye kuaminika na jamii yote ya watanzania .
   
 2. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu nae utafikiri kipofu! kwani hujaona post kama hii? si upeleke post yako huko? Modereta hamishia hii post huko ilipoanzishwa! kuna watu wengine wanahitaji msaada!
   
Loading...