Elections 2010 Gazeti gani leo limeandika Dr Slaa alishinda kwa % 64?

Freedom of speech iko wapi?

Gazeti lenye habari za ushindi wa Dk.Slaa kwa 64% wamelizuia lissingie mtaani! Wanaogopa nini?
Ina maana hizo habari zina ukweli kwa asilimia 99.99999999999%.
Yes it is true now that Presida JK is an illegimate president! Miaka mitano kutwaliwa na Rais aliyeshinda kwa KURA ZA WIZI.
Sasa tuna amini kuwa kama NEC wangelikuwa wamesimamia Uchaguzi wa Huru na Haki basi pengine Tanzania ingelikuwa sawa na Coute'de Avoir ya Bagbo. Kikwete angelifuata mkondo wa wa Mugabe au wa Bagbo.

Yote yana mwisho.
 
Back
Top Bottom