Gaza Flotilla: Turkey kuishtaki Israel katika mahakama za UN

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Gaza flotilla: Turkey to take Israel to UN court


Turkey has said it will challenge Israel's blockade of Gaza at the International Court of Justice (ICJ). It is the latest sign of strain between the countries since last year's Israeli action against ships heading for Gaza, in which nine Turks were killed. Foreign Minister Ahmed Davutoglu said Turkey did not accept the findings of a UN report which said Israel's blockade of Gaza was a legal security measure.

His comments came a day after Turkey expelled the Israeli ambassador. It also halted military co-operation with Israel. Report 'not endorsed' Speaking on state-run Turkish TV, Mr Davutoglu said the UN report, prepared by former New Zealand Prime Minister Geoffrey Palmer and former Colombian President Alvaro Uribe, had not been endorsed by the UN and was therefore not binding.

"What is binding is the ICJ," he went on. "This is what we are saying: let the ICJ decide." Turkey, he added, would start the necessary legal procedures in the coming week. Based in The Hague, the ICJ is a permanent UN court set up to rule on state-to-state disputes. Israeli Deputy Foreign Minister Danny Ayalon insisted his country had nothing to apologise for and had done all it could to avoid a crisis with Turkey. He said the Turks seemed to want to raise tensions with Israel for its own reasons.

"They were not ready for a compromise and kept raising the threshold," Mr Ayalon said on Israeli TV. "I think we need to say to the Turks: as far as we are concerned, this saga is behind us. Now we need to co-operate. Lack of co-operation harms not only us, but Turkey as well." The US state department has said Washington hopes Turkey and Israel "will continue to look for opportunities to improve their longstanding relationship".

'Unreasonable' force

The nine pro-Palestinian activists who died were on board the Turkish-flagged ship, Mavi Marmara, when it was intercepted by the Israeli navy in international waters as it sailed towards Gaza's coast on 31 May 2010. At the time, the Israeli military said its commandos fired live rounds only after being attacked with clubs, knives and guns. But activists on board said the commandos started shooting as soon as they hit the deck.

The UN inquiry found Israel's naval blockade had been "imposed as a legitimate security measure in order to prevent weapons from entering Gaza by sea and its implementation complied with the requirements of international law". It said Israeli troops had faced "significant, organised and violent resistance from a group of passengers" and were therefore required to use force for their own protection. But it also said Israel's decision to board the vessels "with such substantial force at a great distance from the blockade zone and with no final warning immediately prior to the boarding was excessive and unreasonable".

The report noted "forensic evidence showing that most of the deceased were shot multiple times, including in the back, or at close range".

BBC News - Gaza flotilla: Turkey to take Israel to UN court
 
kuna speech aliitoa Netanyahu walifanya raid ktk moja ya hizo meli ya misaada na hamaki, wakaanza kushambuliwa kwa risasi. Hizo meli huwa zina silaha ndio maana huwa hawataki zikaguliwe.
Hata kama ningekuwa mimi nisingeruhusu meli yenye silaha za kuja kunishambulia ipite
 
Mpaka Palestina itakapotambulika kimataifa kama nchi huru ndipo mandate ya israel juu ya Palestina itakapokoma. Lakini kwa sasa Walichokifanya waturuki ni sawa na kuingia Israel bila idhini ya Israel. Kwa hiyo hata kama hiyo meli haikuwa imebeba silaha lkn Israel wana haki ya kulinda mipaka yao ikiwemo Gaza na Ukingo wa magharibi. Uturuki ndio iliyofanya dharau maana haiwezekani iruhusu raia wake waende kwenye nchi nyingine bila visa wala mawasiliano yoyote na utawala wa wenyeji. Bahati nzuri sasa Uturuki na dharau zao wameingia choo cha kike, wamekutana na kichwa ngumu Israel, sasa wanaona aibu ndo maana wanataka Israel iombe radhi ili waonekane wao tofauti na mataifa mengine ya middle east wako superior over Israel lkn na Israel wamesema wazi ktk swala hilo kuomba radhi ni dalili ya udhaifu kwasababu hawaoni kosa.
 
Israel haitishiwi nyau, hata hiyo mahakama ingehukumu kinyume na Israel itakuwa kazi bure tu... Waturuki waache unafiki wawatetee kwanza mamilioni ya Wakurdi wa uturuki wanaoteswa ndani ya nchi yao ambao kwa miaka kibao wamekuwa wakizuiwa hata kuongea lugha yao ya asili.
 
niliiona hiyo video aisee, makomandoo walipokuwa wanfanya raid vya moto vikaanza kumiminwa. Sasa fikiria kama meli ina chakula mavazi n.k. Kulikuwa na umuhimu gani wa kugomea ukaguzi?
 
Israel pm-"israel will not apologize to turkey or any nation for defending itself"
 
Kesi ya mamba anapewa kenge atoe ukumu,utategemea nini! Unakumbuka obama alisema relation ya US na Israel ni Unbreakable,na UN iko chini ya US na Nato
 
Kesi ya mamba anapewa kenge atoe ukumu,utategemea nini! Unakumbuka obama alisema relation ya US na Israel ni Unbreakable,na UN iko chini ya US na Nato
<br />
<br />
Uturuki ni member wa NATO wakati Israeli sio. So if that is the case, then its complicated.
 
Turkey says it will escort aid boats to Gaza

Istanbul (CNN) -- Turkey's prime minister said the country would follow aid ships to Gaza, in an effort to stop incidents like last year's raid by Israeli commandos that killed eight Turks and one Turkish-American.

Turkish Prime Minister Recep Tayyip Erdogan told Al Jazeera television network Thursday that "Turkish warships are primarily responsible to protect our ships that carry humanitarian aid to Gaza. From now on, we will not allow these ships to be subjected to attacks from Israel similar to what happened with the Freedom Flotilla ... Israel will be answered appropriately."
The tough talk from Erdogan comes during an escalation of tensions between Israel and Turkey.

On Wednesday, Israeli officials said Turkey had expelled three Israeli diplomats from the Israeli Embassy in Ankara.
A day earlier, Erdogan compared Ankara's once-close ally in the Middle East to a "spoiled boy" and announced additional sanctions would soon be imposed, according to the semi-official Anatolian agency.

The Israeli government has not yet commented publicly on the remarks made by Erdogan to Al Jazeera.
But Israel's Yedioth Ahronoth newspaper reported Friday that Foreign Minister Avigdor Lieberman was drawing up a series of tough measures against Turkey in response to its moves.

Speaking Wednesday at a naval academy event, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu took a more conciliatory tone, saying the recent increase in tensions with Turkey "was not our choice then, and it is not our choice now."
But, he added, Israel had the right to defend its coast and to prevent smugglers and flotillas reaching the Gaza Strip.


More information
Turkey says it will escort aid boats to Gaza -
 
Uturuki isitubabaishe.Katika Ulaya ni taifa kibaraka na lisilojiamini kabisa kama yalivyo mataifa mengine ya mashariki ya kati na Asia.
Ni taifa ambalo ni janga kwa maendeleo ya waislamu duniani.
Wakati waasi wa Libya wamebanwa na wamechanganyikiwa hawawezi tena kusonga mbele.Migawanyiko miongoni mwao ikizidi kupata kasi ni wao Uturuki ndio waliotumika kupeleka jumla ya US.dolla 300 mil kwa waasi.Baada ya kulipana hizi pesa wale wahuni wala unga wakapata mori wa kupenya kuelekea Tripoli
.
Makeke yake ya bure watatimuliwa na mayahudi na hawatopata wa kuwatetea.
 
Hapa Uturuki inaonekana inataka kulazimisha vita na Wayahudi kilazima. Sidhani kama ushindi utakuwa upande wao. Kwa mtazamo wangu Waturuki wanapoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom