Gay men caught havingintercourse stoned to death in Kayole

Kunamakosa ambayo uzuwiaji wake lazima uondoe mzizi wa tatizo hilo, mambo ya ushoga mtu hawezi kuacha kwa kuhubiriwa, sasa ili kukomesha tabia hiyo ni kuwauwa walio athirika na tabia hiyo na hiyo itakiwa ni onyo kwa wengine.

Ohhh!!!so easy mhh..!!?while we are at that,lets stone to death all prostitutes,women and men alike,we shouldnt spare the witches,the robbers,the liars, hypocrites, adulterers,thiefs....in fact let us put to death all the sinners of this world...for the wages of sin is death dished out by human beings who are FREE from sins....
 
Kunamakosa ambayo uzuwiaji wake lazima uondoe mzizi wa tatizo hilo, mambo ya ushoga mtu hawezi kuacha kwa kuhubiriwa, sasa ili kukomesha tabia hiyo ni kuwauwa walio athirika na tabia hiyo na hiyo itakiwa ni onyo kwa wengine.

what two consenting adults do in their own time at their own privacy that doesn't harm the society, mna haki gani ya kuhawukumu leave alone kuwaua? wat's next mkishamaliza mashoga? wasichana wanao vaa short skirts?? watu wasiosupport chama unachosupport? watu wa dini tofauti na wewe? mnaishi kama mko in the 18th century
 
Even God himself is God of second chance. He gives time to sinners to repent and live sacred life. Imagine if God applied instant death penalty to all sinner even the stoners would not be here. Killing is an exclusive right to God and may be the rulers not every passerby. So what the killers have done is to be condemned in the strongest terms possible and never should it be repeated anywhere because it can lead to undue anarchy. Dear JF colleagues let us propagate peace to make the world a better place to live.
 
Watu kwa kujitia utakatifu!

Ni kosa kisheria kufanya kitendo cha ngono hadharani lakini hawakupaswa kuhukumiwa na jamii hata kwa kupigwa kofi tu seuze kuuwawa
 
Mob justice!Ha walioua ina maana wao ni watakatifu kiasi gani? kwa sababu kama unakuwa hakimu wa mwenzio ina maana wewe ni msafi. Je, is that the case? Japo walichofanya hakikubaliki ktk jamii zetu lakini proper channels za kuwahukumu zingetumika.
 
these guys were not supposed to be killed. maneno ya busara kutoka kwa BUBE nobody is born gay but pple choose to be gay. so one can automatically snap out of it if they want to. some have even turned to dogs for sexual satisfaction.
 
Last edited by a moderator:
Sifagilii Ushoga, but sijayafagilia pia hayo mauaji, cause walikuwa wamekubaliana wenyewe, ingekuwa mmoja kambaka mwingine na yule mmbakaji kauawa, it's ok, just wangekamatwa na sheria za nchi zifuatwe, je, gays huko kwao wanachukuliwaje kisheria, nauchukia Ushoga but sometimes nashindwa hata niseme nini cause kuna watoto wa kiume wanakuwa na hormone za kike na Wazazi wao hawashtuki kuwapeleka Hospitali ili angalau warekebishwe, hormone zinarekebishwaga, Wazazi wawahishe vijana wao wa type hizo, kabla washenzi wa tabia hawajawaharibu kabisa
 
Doreen, do you mean wabakaji wakikamatwa wapigwe mawe hadi wafe? bila kufikishwa mahakamani? Bila kufata sheria inasemaje kuhusu hayo?
 
death deserved em, i could be-head all de two of em without hesitating, sorry defending folks, thumbs up f u like
 
Back
Top Bottom