Gavana wa Nairobi afuata nyayo za Juma Nkamia ataka katiba ibadilishwe ili Rais Kenyatta aendelee na madaraka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,667
Siasa za Tanzania huenda zinafuatiliwa sana na wakenya kwani sasa ile hoja ya Mh Nkamia nao wameichukua.

Gavana wa Nairobi mh Sonko ametaka Katiba ya Kenya ifanyiwe marekebisho ili kumpa fursa Rais Uhuru Kenyatta kubakia madarakani kwa muhula wa tatu.

Source Citizen tv
Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa Africa kila kitu kinawezekana maana alipata madaraka kidogo tu anatakiwa asibadilike awepo hapohapo tu na ndy maana hawa wanaona kama kutakuwa na mabadiliko basi kuna uwezekano wa nafasi yake kupotea.
Huu ndy ubinafsi wa mwafrica na ndy unakwamisha kuendelea au maendeleo ya bara hili
 
Waafrika akili zetu zina matatizo.

Waafrika mtu akipata uongozi tu, basi hujiona yeye ndie mwenye akili kuliko wote, hujiona yeye ndie anaejua kuliko wote.

Afrika mtu akipata uongozi hutaka atawale milele, kwamba bila yeye hiyo nchi haitaendelea, yeye ndie pekee anaeweza.

Afrika mtu akipata uongozi hunadilisha sheria zote ili zimpendelee yeye tu na familia yake. Sheria yoyote ambayo haitampendeza itabadilishwa haraka na iwapo itatokea akatoka, atakaemrithi nae atabadili sheria zote za mtangulizi wake ili zimpendelee yeye, inakua ni mzunguko.

Afrika haiendelei kwa sababu nyingi sana.
 
Siasa za Tanzania huenda zinafuatiliwa sana na wakenya kwani sasa ile hoja ya Mh Nkamia nao wameichukua.

Gavana wa Nairobi mh Sonko ametaka Katiba ya Kenya ifanyiwe marekebisho ili kumpa fursa Rais Uhuru Kenyatta kubakia madarakani kwa muhula wa tatu.

Source Citizen tv
Maendeleo hayana vyama!
Huu uzi umeletwa na nzi wa kijani tu. Hivi katika mifano yenu mbona hamjawahi kuwazungumzia USA ambao wanafanya uchaguzi kila miaka minne???
 
Jibu hoja. Vipi tukibadili muda wa uraisi from 5 years to 4 years kama USA???
 
Siasa za Tanzania huenda zinafuatiliwa sana na wakenya kwani sasa ile hoja ya Mh Nkamia nao wameichukua.

Gavana wa Nairobi mh Sonko ametaka Katiba ya Kenya ifanyiwe marekebisho ili kumpa fursa Rais Uhuru Kenyatta kubakia madarakani kwa muhula wa tatu.

Source Citizen tv
Maendeleo hayana vyama!
Eti zinafuatiliwa umeona wapinzani wa kinyata wakipigwa risasi kisa kuisema serikali yake??, inawezekana huyo Gavana nae ni poyoyo km ww na Nkamia.
 
Siasa za Tanzania huenda zinafuatiliwa sana na wakenya kwani sasa ile hoja ya Mh Nkamia nao wameichukua.

Gavana wa Nairobi mh Sonko ametaka Katiba ya Kenya ifanyiwe marekebisho ili kumpa fursa Rais Uhuru Kenyatta kubakia madarakani kwa muhula wa tatu.

Source Citizen tv
Maendeleo hayana vyama!
Kubakiza mtu vile inahtaji akili ya kilevu pia
 
Hapa Kenya tuna katiba bora kuzidi zote ukanda wote huu, hilo jambo haliwezekani. Japo kila mtu ana uhuru wa maoni.
 
Katiba bora E/Africa lkn kwenye amani hamuongozi.

Hilo la amani sitegemei tuwe namba moja maana sisi Wakenya sio watu wa kuzimwa zimwa kama mazombi, hatupelekeshwi ovyo ovyo, huwa tupo tayari muda wowote kuhoji, tunahoji kila kitu ikiwemo historia, hatukandamizwi na kukaririshwa pumba kama mazombi kisa amani.
Hamna kitu cha ovyoo kama kutajwa unaongoza kwa amani ila watu wako wanaishi kwa kunun'gunika ndani kwa ndani, wamejaa machungu na majungu ila wanakenua meno ili tu watajwe kuwa watu wa mani. Kwa mfano utafiti unaonyesha Tanzania imetajwa ndani ya mataifa kumi ambayo wananchi wake hawana furaha hata kidogo, yaani duniani hata sio Afrika bali dunia yote mpo ndani ya mataifa kumi yenye dhiki kuu japo pia mnatajwa kama nchi yenye amani hapa Afrika......isitoshe, mnatajwa ndani ya mataifa maskini wa kutupwa duniani.
Yaani sifa ambazo sijui zinaendana kivipi, kwamba nchi ambayo watu wake wanaongoza kwa kukosa furaha duniani, ambayo imeorodheshwa ndani ya maskini wa kutupwa duniani, lakini yenye amani zaidi ya zote EAC, watu mnaishi tu muishi bila kuhoji chochote, mpo mpo tu.....https://www.fastcompany.com/90323247/these-are-the-10-happiest-and-unhappiest-countries-in-the-world-in-2019
 
Hapa Kenya tuna katiba bora kuzidi zote ukanda wote huu, hilo jambo haliwezekani. Japo kila mtu ana uhuru wa maoni.
Hiyo ni katiba bora kwa wakikuyu tuu, hao wengine sijui wamombasa, waluhya tupa kule. MK254 Karibu tule mbuzi na tufanye ile uchawi yenyu inayoitwa guchiri.
 
Back
Top Bottom