Gavana Wa Machakos Alfred Mtua ameachana na Mkewe

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
First lady wa County ya Machakos Lilian Nganga ametangaza kuachana na mumewe ambaye ni Gavana wa County hiyo Dkt. Alfred Mutua

Dkt. Alfred Mutua ni miongoni mwa wanasiasa waliotangaza kuwania Urais nchini Kenya!View attachment 1894904
Screenshot_20210816-210212.jpg
 
Pole yake Gavana Alfred Mutua. Kuna bazenga amepita na Her Excellency The First Lady Lilian Ng'ang'a Mutua. Vijana wa Nairobi 'hapana tambua'! Hata uwe nani ukizubaa zubaa lazima utaliwa. :D
Juliani.jpg
Naaiiroobii..... ogopa sana mamaaah! :D:D:D
 
First lady wa County ya Machakos Lilian Nganga ametangaza kuachana na mumewe ambaye ni Gavana wa County hiyo Dkt. Alfred Mutua

Dkt. Alfred Mutua ni miongoni mwa wanasiasa waliotangaza kuwania Urais nchini Kenya!View attachment 1894904View attachment 1894905
Jamaa boya sana alimwacha mke wake akaoa slay queen sasa demu anasepa na watoto anaenda Euro kuanza maisha upya na kina mandingo. Gaddamit!!
 
Pole yake Gavana Alfred Mutua. Kuna bazenga amepita na Her Excellency The First Lady Lilian Ng'ang'a Mutua. Vijana wa Nairobi 'hapana tambua'! Hata uwe nani ukizubaa zubaa lazima utaliwa. :D
Juliani.jpg
Naaiiroobii..... ogopa sana mamaaah! :D:D:D
Mutua is a conman
 
First lady wa County ya Machakos Lilian Nganga ametangaza kuachana na mumewe ambaye ni Gavana wa County hiyo Dkt. Alfred Mutua

Dkt. Alfred Mutua ni miongoni mwa wanasiasa waliotangaza kuwania Urais nchini Kenya!View attachment 1894904View attachment 1894905
Huyu ni malay* tu anayezunguka kutoka tajiri mmoja hadi mwingine. Sasa amewacha gavana amehamia mwanamuziki anayeitwa Juliani. Mwisho wa siku utasikia tena amekosana naye na amehamia kuishi na tajiri mwingine. Malay* kama hawa huwa wanawashwa na kum* sana
 
Hehehe!! Lakini mpaka ashushe title ya ufirst lady lazima kuna sababu ya msingi, maana hiyo title tu ni hela, ukitaka deal yoyote kwenye serikali yao upitie kwake first lady unakua umemaliza mchezo. Sasa huko kwa Juacali kuna nini kikubwa zaidi ya kutiwa dushe na kupunguziwa minyege, itakua Alfred ana mapungufu kwenye taaluma hiyo.

Hizi ndoa za mjini na kuonyesha onyesha sijui kwenye Youtube na mitandao zinawagharimu sana watu siku hizi. Bora sisi watu wa old school tumejinyamazia ndani kwa ndani.
Siku hizi eti mke lazima umpost sijui Instagram na wapi uko ndio kukalike......hehehe!!
 
Huyu ni malay* tu anayezunguka kutoka tajiri mmoja hadi mwingine. Sasa amewacha gavana amehamia mwanamuziki anayeitwa Juliani. Mwisho wa siku utasikia tena amekosana naye na amehamia kuishi na tajiri mwingine. Malay* kama hawa huwa wanawashwa na kum* sana
Jamani ndugu yangu, huna dada hadi uwadhalilishe kwa maneno makali hivi? Too bad, mtizamo wa sampuli hii sio freshi hata kidogo jombaa.

Hivi sisi wanaume si ndio magwiji waliobobea kweli kweli kwenye huo mchezo wa kuruka ruka kutoka kwa Wanjiru, Adhis hadi Maimuna? Sasa mbona hasira uzielekeze kwa wachezaji badala ya kuzielekeza kwa mchezo wenyewe?
 
Usimpangie wapi PA kuelekeza hasira zake Buda, ebo
 
Back
Top Bottom