Ndugu wanajamvi... mimi kimla mtanzania wakawaida ninaomba Gavana wa BOT ajiuzulu au aombe radhi kufuatia kosa la kitoto aliloonyesha kwenye report ya Jan 2017. google http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER JAN 2017.pdf ... halafu nenda ukurasa wa 6 wa report under section 3: Government Budgetary Operations halafu nenda page 7- angalia table 3.1 and table 3.2. Table 3.1 inaongelea mapato lakini wameonyesha data za matumizi ya serikalai, wakati table 3.2 inatakiwa kuonyesha matumizi ya serikali badala yake wameonyesha mapato ya serikali.
Kutokana na Makosa haya ambayo hata mimi mtu wakawida tu nimeyaona inaonyesha kabisa BOT hawako makini na huenda ndo maana mh Rais hawaamini.
Hivyo ninatoa wito kwa Gavana wa benki kuu ajiuzulu au aombe radhi kwa makosa yalijitokeza kwenye report na achukue hatua za kumuondoa aliyefanya makosa ya kizembe yanayopunguza heshima ya Taasisi.