Gavana Prof. Ndullu afiwa na mama yake

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,888
2,000
Leo imekuwa siku mbaya kwa familia ya prof. beno ndullu(gavana wa benk kuu) baada ya kufiwa na mama yake mzazi. Taarifa zaidi za wapi shughuli ya msiba itakuwa tutawajuza bdae.
Tunaomba mungu awatie nguvu ndugu wa marehemu katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P
 
Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,291

Amerudi toka America huyu bwana; kwani alikuwa na mkweree Washington D.C. Poleni watu wa B.O.T
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
0
Poleni mkuu Benno Ndullu. Nakuaminia sana hasa sera zako za kupunguza umasikini na kukuza uchuma
 
arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,291
1,195
Anaondoka leo hapa D.C kesho anaingia dar Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom