Gavana ndulu no more excuses inabidi ujiuzulu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gavana ndulu no more excuses inabidi ujiuzulu.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by politiki, Mar 11, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Gavana ndulu inabidi ajiuzuru kwa kulitia taifa letu hasara ya mabilioni ya shillingi. alipokuwa akitoa sababu za kubadilisha pesa alisema pesa zilizopo inabidi zibadilishwe kwa kuwa hazina ubora na pili zinagushika kirahisi kwahiyo serikali imepata mbia atayetengeneza noti zingine zitakazokuwa na ubora wa hali ya juu na pia itakuwa vigumu kughushika. kulingana na taarifa mbalimbali kutoka kwa wananchi noti hizi mpya za kaniki ni rahisi kughushika kuliko za zamani na hazina ubora wowote kwani ukiziangalia zingine mirangi inachujika haraka na kuwa kama imepigwa pasi. kwa kuwa sababu alizozitoa za kubadilisha pesa zimekuwa ni kiini macho gavana inabidi aachie ngazi kwani ushauri wake umeliingiza taifa hasara kubwa za kubadili noti na pia kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara ambao tumekuwa tukipokea noti feki kwa wingi kila kunapokucha kuliko hapo zamani. umezipika mbiu wewe mwenyewe inabidi uzitafune na siyo kuwaachia wengine watafune kwa excuse zako za ajabu ajabu kwani tunachoangalia hapa siyo issue ya noti kughushiwa tu bali ni wingi wa noti kughushiwa kwani umeifanya kazi yao kuwa rahisi zaidi kuliko hapo mwanzo.
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Na iwe hivyo. Magumashi yamezidi bongo
   
 3. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sito shangaa nikija sikia walikuwa wameishiwa hela kabisa na amna pa kutokea ndio sababu ya kuchapisha. No wonder inflation is beyond control in Tanzania.

  Hila nakubalina na wewe kwamba hili bozo na mwenzie waziri Mkullo wafukuzwe sijui kwanini wengine hawa waoni kama hawa jamaa vilaza, ooh utaambiwa wameandika mapepa yenye credentials so what, they're just useless employees and they cost the nation dearly.
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nahuyu mzee hata sioni any positive impact yoyote kwetu!
   
 5. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  naomba kuuliza put epa aside hv kipindi cha balali hela feki na inflation ilikuwa kiasi hiki
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  inflation i beleive was arround 8% ukiondoa inflation inayosababishwa na chakula na pia swala kuhusu swala la hela feki lilikuwepo lakini in a very low magnitude siyo kama sasa ambapo mtu hunaiyangalia noti mara kumi kumi.
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kwenye maandamano ya kanda ya Kusini Tuandike Mabango.

  NOTI feki zinatufilisi, Gavana jiuzulu. Pia Viongozi wa CHADEMA watoe TAMKo
   
Loading...