KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Mtu wa VITENDO na MATOKEO bila ya kelele nyingi?
Watu wa namna hii wapo hapa nchini. Tunawapoteza hivi hivi tu!
Inaonekana kutokana na maelezo, alikuwa ni mzima wa afya, hata baada ya kustaafu hadi siku chache tu zilizopita!
Taratibu watu wanaanza kuingia mstarini kwa katazo la kutaja neno "Corona".
Mungu aiweke mahali pema roho yake.