Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,204
- 7,892
wachaga buana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wachaga buana!
Gawana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania.
Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa.
Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania.
Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya pamba na kahawa inayouzwa nje ya nchi.
Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 95% ya mauzo ya samaki ndani na nje ya nchi.
Kanda ya ziwa inavutia zaidi ya 80% ya watalii ama mapato ya utalii Tanzania. Kwa maana kwamba Serengeti national park hutembelewa na zaidi ya 80% ya watalii wanaokuja Tanzania. Bila Serengeti utalii Tanzania ni kama haupo. Bila Serengeti wazungu tutaishia kuwaona kwenye tv.
Mwisho na kwa umuhimu wa wanasiasa, kanda ya ziwa ina wapiga kura wengi kuliko kanda yoyote ile Tanzania. Kanda ya ziwa ina determine urais wa nchi hii hivyo wanasiasa chagueni maneno na kauli zenu kuhusu watu wa kanda ya ziwa.
Bangi na ushamba vinakusumbua msukuma mwenzangu!wachaga buana!
Ala, Kumbe upo hivi?Acha waseme ila wajue chama chao cha kichaga tutawashikisha ukuta sio muda.
Kufa kila mtu atakufa. Hakuna atakaeishi milele.Sisi tutaendelea kuomba madikteta wafe.hatuwataki apa kwetu Tanzania.huo ndio ukweli.avuruge mwingine uchaguzi serikali za mitaa.atakiona cha mtemakuni
Hivi 16% inaweza kumtoa mshindi? Tatizo hamuelewa hata kinachomaanishwa. Kanda ya Ziwa ina wapiga kura wengi zaidi kuliko kanda nyingine, lakini pekee yao, kura zao zote, hazitoshi kumtoa mshindi.Kua na wapigakura wengi sio necessarily mgombea lazima atoke kwao ila wao wanaweza kudetermine mshindi.
Na tunakoelekea tutaamza kutoa hata wagombea maana tukitoa mgombea na tukaungana kumpigia kura anashinda urais asubuhi na mapema.
Soma hoja yangu kwa umakini. Ni kweli Akili zangu kamwe haziwezi kulingana na zako kwa lugha uliyotumia. Rudi kijiweni ulikozoea.Usiwe mjinga wewe nguzo ipi? Yaani mikoa 6 inachangia only 26% ya GDP afu unasema nguzo? Una akili timamu kweli wewe
Mawazo ya ajabu sana mnavyofanya hivyo na ubaguzi wenu na MEKO kanda zingine zitakuwa dhidi yenu kwa pamoja hamtaweza huo ujinga wenu mnaojidanganyaKua na wapigakura wengi sio necessarily mgombea lazima atoke kwao ila wao wanaweza kudetermine mshindi.
Na tunakoelekea tutaamza kutoa hata wagombea maana tukitoa mgombea na tukaungana kumpigia kura anashinda urais asubuhi na mapema.
Mie ni wa shamba kweli, mbona hata huko Kilimanjaro ni mashamba tupu!Bangi na ushamba zinakusumbua msukuma mwenzangu!
Ulifanikiwa kuona majina yaliyopo kwenye phonebook ya Samsung yako unapotumiwa SMS?
Samsung 6+ haileti majina kwenye sms
Wakuu, simu tajwa hapo juu inatatizo la kutoleta majina pindi nitumiwapo sms, yaani majina nimesave lakin mtu akinitumia sms jina haliji inakuja namba tu. Msaada kwenye tuta wakuu.www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja...Pumbavu.
Kua na wapigakura wengi sio necessarily mgombea lazima atoke kwao ila wao wanaweza kudetermine mshindi.
Na tunakoelekea tutaamza kutoa hata wagombea maana tukitoa mgombea na tukaungana kumpigia kura anashinda urais asubuhi na mapema.
Opportunity Cost soma hiyo, una lingine?!Uwe unasoma machapisho ya serikali kuongeza ufahamu. Mambo ya uchumi hayalinganishwi kwa jinsi unavyofikiri wewe, yanalinganishwa kwa facts and figures.
Kanda ya pwani ama Dar es Salaam inachangia 40% ya uchumi, kanda ya Ziwa 26%, nyingine zilizobaki fanya hesabu mwenyewe kisha uone kama una akili ama huna.
Mbowe alitakiwa kukaa kimya inawezakana maendeleo ya kaskazini yametoka kanda ya ziwa halafu na wao kanda ya ziwa waamke patakalika kweli?
Pumbavu baba yako tatizo mnajifariji kwa ujinga wenu..nilichoweka hapo ndio hali halisi kutoka NBSPumbavu.