Gavana Ballali: Nini kinaendelea?

Cha kushangaza ni kwanini modes wameiweka hii kwenye vibweka vya wakubwa!
Binafsi nafikiri hili ni swali muhimu na sio simply "kibweka"

Sioni kibweka chochote kwenye habari hii. Decision ya baadhi wa mode wakati mwingine hazieleweki.
 
Balali yuko wapi jamani. Je uchunguzi juu yake nae unafanyika? nimesikia uchunguzi juu ya uchunguzi wa Richmond na Radar deals. Je Balali kulikoni?
 
Ni wakati sasa Rais Kikwete atuambie Balali yuko wapi, ni wajibu wetu kujua kwani ni amechangia sana katika kuifanya Tanzania imeng'enywe na mafisadi na anajua mbinu zote zilizotumika kuifilisi nchi. RAIS KIKWETE TUNAKUULIZA BALALI YUKO WAPI, KWA MAMLAKA TULIYOKUPA UNA UWEZO WA KUJUA/UNAPASWA KUJUA NA UNAJUA BALALI YUKO WAPI, TUELEZE!
Hujambo!
 
I think issue ya Balali nilishawahi kusema hapa kuwa inachezwa kitu inaitwa delaying tacktick. Na wakati huo wnampa nafasi ya kuweka mambo sawa. Je hamuoni munkari unapoa. Balali akirudi wataanguka wengi. Hivyo they want him a way. Hivi kweli kwa kasha nzito kama hiyo Bush alpokuja Kikwete angekua serious angemuambia Mr kichaka kuna jamaa kajichimbia kwako namhitaji, Within 24hrs Balali angekuwa Dsm. Lakini nothing is going on. TUMELIWA MCHANA KWEUPE!!
Tumeliwa kwa mda mrefu sana inatosha sasa.
#NI YEYE
 
Mambo mengi huwa yanaanza kuibuka JF kisha mabumunda yanakuja kujua baadae sana.
 
Kama Magufuli angekuwa serious angepiga pingu Kikwete kwanza, kuna watu wengi wenye kesi za kujibu nchi hii lakini wanalindana. Kama hakuna utawala wa sheria, Afrika itakuwa hivihivi mpaka mwisho wa Dunia.
 
Back
Top Bottom