Naomba nielimishwe kidogo kuna mbunge mmoja wa serikali ya BMW kutoka jimbo la Shinyanga mjini.[kwa sasa siyo mbunge]
Alikuwa akihojiwa na mtangazaji wa STAR TV katika maelezo yake alieleza wazi kuwa gavana anao uwezo wa kushusha thamani ya shilingi ,Na kwamba sababu ambazo zimepelekea kushuka kwa thamani shilingi ni shinikizo la makampuni ya uchimbaji madini.
Ambayo yanamshurutisha gavana ashushe thamani ya shilingi ili watakapobalisha waweze kupata pesa nyigi za kitanzania naomba kama kuna wataalamu wa mambo haya watueleze ni kweli? na kama ni kweli athali zake nini? mahojianao hayo yamefanyika yapata wiki 2 zilizopita sikumbuki tarehe.