Gavana Ana Uwezo Kushusha Thamani Ya Shilingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gavana Ana Uwezo Kushusha Thamani Ya Shilingi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ipole, May 22, 2008.

 1. I

  Ipole JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba nielimishwe kidogo kuna mbunge mmoja wa serikali ya BMW kutoka jimbo la Shinyanga mjini.[kwa sasa siyo mbunge]

  Alikuwa akihojiwa na mtangazaji wa STAR TV katika maelezo yake alieleza wazi kuwa gavana anao uwezo wa kushusha thamani ya shilingi ,Na kwamba sababu ambazo zimepelekea kushuka kwa thamani shilingi ni shinikizo la makampuni ya uchimbaji madini.

  Ambayo yanamshurutisha gavana ashushe thamani ya shilingi ili watakapobalisha waweze kupata pesa nyigi za kitanzania naomba kama kuna wataalamu wa mambo haya watueleze ni kweli? na kama ni kweli athali zake nini? mahojianao hayo yamefanyika yapata wiki 2 zilizopita sikumbuki tarehe.
   
 2. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..amegombana nao nini? hawampi tena mshiko?
   
 3. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Inategemea na system ya nchi yenyewe ikoje.

  Nchi kama china ambako currency yao iko centrally controlled (Mmarekani analipigia kelele hili kila siku kwa sababu anadai it is unfairly cheap) Gavana wa Central bank ana control thamani ya hela.

  Kwa sehemu yenye free market Marekani hawana direct control ila Chairman of The Feds na board yake wanaweza ku control through control ya interest rates.

  Duniani hakuna nchi iliyo katika a complete and pure free market.

  Kwa hiyo jibu fupi ni ndiyo, kwa njia moja au nyingine gavana through the central bank anaweza ku control thamani ya shilingi.
   
 4. I

  Ipole JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inawezekana maana alikuwa akilalamika sana any way hilo sin uhakika nalo
   
 5. I

  Ipole JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa maana hiyo Gavana anakuwa na jukumu kubwa sana maana uchumi wa nchi unakuwa mikononi mwake akitaka kutuua anafanya anavyotaka kwa mtaji huo na tamaa ya viongozi wa kitanzani TWAFWAA
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Sikuwahi Kujua Hili. Asante Kwa Kuweka Habari Hii Hapa
   
 7. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lakini nini kinatokea Gavana anapotengeneza note chukulia mfano noti ya Tsh 10,000 na mimi mwananchi ninapeleka Tsh 1,000 kumi nini implication kiuchumi hapo?
   
 8. KASINYE

  KASINYE Member

  #8
  Jun 9, 2014
  Joined: Jun 6, 2014
  Messages: 85
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maweeeee!!!!!
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2014
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hana, ni Mpaka President a-approve.

  Na kuhusu hiyo sababu ya makampuni ya uchimbaji madini ni uongo, Makampuni ya uchimbaji madini hayanunui kitu chochote cha maana hapa nchini kupelekea shinikizo hilo.
   
 10. Tim Choice

  Tim Choice JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2014
  Joined: Sep 28, 2013
  Messages: 1,647
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  Ikiwa nchi ya kidemokrasia ya kweli basi Raisi sio lazima a -approve,gavana anaweza tu kupitia nguvu za KIKATIBA.
   
Loading...