Gavana akamatwa kwa kuiba dola milioni100

Urenga One

Member
May 22, 2009
50
1
Gavana wa mmoja wa zamani Nigeria AbdullahiAdamu akamatwa kwa shutuma za kuiba dolla millioni 100 source VOA. Ingekuwa kwetu hii Balali angeshtakiwa kwani yupo kisiwa cha Carribean anakula Life
 
Well done waliomkamata ingawa wamechelewa na gavana congratulation kwa tukio hilo
Asante sana
 
Gavana wa mmoja wa zamani Nigeria AbdullahiAdamu akamatwa kwa shutuma za kuiba dolla millioni 100 source VOA. Ingekuwa kwetu hii Balali angeshtakiwa kwani yupo kisiwa cha Carribean anakula Life

Mh! Conspiracy theories. I bet he is sporting dreads and goes by a name like Reggie Barlow or something, right?
 
Gavana wa mmoja wa zamani Nigeria AbdullahiAdamu akamatwa kwa shutuma za kuiba dolla millioni 100 source VOA. Ingekuwa kwetu hii Balali angeshtakiwa kwani yupo kisiwa cha Carribean anakula Life

Hii RED hata mimi nilishawahi kusoma Jarida moja kutoka Carribean likimsifia huyu Mh.Balali sasa pia hata huko Nyumbani pia walishawahi kuandika habari zake kwani yupo huko anafufua uchumi wa Carriean. kwani. Huyu magaeti mengi au karibia yote ya Udaku yalisema amekufa lakini watanzania mkumbuke kwamba alikusema amekufa mpaka Serikali ithibishe hayo.Lakini Government kimyaa kwasababu inajua wapi pa kumpata. Asanteni
 
Jamani ni kweli Balali yu ahai?Au ni conspiracy theory?
Urenga One sema vizuri

Wadanganyika tafadhali nawaulizeni hasa nyie mnaoamini kuwa Balali amekufa; NANI KATI YENU AMEIONA DEATH CERTIFICATE YA KIFO CHAKE? Kumbukeni mliambiwa mazishi yake yalikuwa private!!
 
Waafrica wengi ni wapumbavu sana,yaani wanaiba bila aibu,hebu angalia Mobutu na Abacha waliiba billions of dollars za wananchi wao lakini waliishia wapi? nina uhakika hao wezi wamejaa wengi sana TZ...siamini mpaka leo jengo la BOT limechukua zaidi ya dola milioni 400,yaani ni aibu tupu!
 
Gavana wa mmoja wa zamani Nigeria AbdullahiAdamu akamatwa kwa shutuma za kuiba dolla millioni 100 source VOA. Ingekuwa kwetu hii Balali angeshtakiwa kwani yupo kisiwa cha Carribean anakula Life

Haya ndio matatizo yanayoletwa wakati watawala hawajui kuwa watu wanaowateua wana dual citizenship; kwahiyo ingawa wamezaliwa na kusoma hapa kukaa kwao nje kunawapa fulsa ambazo zinafacilitate wao kutuibia sisi maskini huku na kwenda kustash fedha ughaibuni ambako huko wana nyumba na investments nyingi tu!! Ni wajibu wetu na serikali kuhakikisha kuwa watu tunaowateua kushika nyadhifa nyeti kama BOT ni kweli wazalendo na sio watu wanaokuja kuchuma ili baadae warudi huko wanakoficha mali zao za wizi!!
 
8E9U6522.JPG
 
Hawa watu wanaweza kuongelea Wizi wa pesa kwa Twin tower ya Bot???????
Whoop $400 million !Meremeta,Richmond!
Eti mkutano wa TAKUKURU???????????????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom