Gauni Hili la Harusi Limemtia Matatani Bi Harusi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
3630426.jpg

Shela lililomtia matatani bi harusi wa nchini Urusi</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Friday, November 27, 2009 3:34 PM
Mwanamke wa nchini Urusi ambaye alivaa shela la harusi lililoweka wazi matiti yake, amesakamwa na maneno ya kashfa katika forum mbali mbali duniani baada ya picha ya harusi yake kuzagaa kwenye internet.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Mwanamke huyo ametupiwa maneno ya kashfa kwa kuvaa gauni la harusi ambalo liliweka wazi matiti yake.

Picha ya bi harusi huyo inasemekana ilipigwa mwaka jana lakini iliingia kwenye mitandao wiki hii na kumsababishia kero mwanamke huyo.

Watu wamekuwa wakiliponda gauni lake la harusi na kutoa maneno ya kebehi kumkashifu.

Gauni hilo la harusi liliacha wazi sehemu kubwa ya matiti yake na kwa chini lilikuwa sawa na magauni ya harusi yaliyozoeleka.

Magazeti ya Uingereza yamekuwa yakimsaka bi harusi huyo wa nchini Urusi ili wamfanyie mahojiano lakini wameshindwa kulipata hata jina lake.

Chini ni linki ya Picha za baadhi ya vituko vya mabibi harusi vilivyowahi kutokea duniani.

Picha zaidi bonyeza hapa http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3630426&&Cat=2
</td></tr></tbody></table>
 
hivi na huyo mmewe ndo kamruhusu kuvaa gauni kama hilo?? na church ameingiaje ??

Yaani inashangaza kweli. Dunia sasa inapoteza mwelekeo, mume anaruhusu hicho kivazi, kanisani nako anaingia namna ile na anaruhusiwa, hilo kanisa nalo lina walakini. Lol!
 
Mhhh mie naona kama hii dunia inako elekea siko.na huyo mchngaji au padre alimruhusuje huyu kuingia kanisani
 
Na huyo bwana harusi ****, kama mimi siongozani nae na kama ni kanisani padre pia **** mwingine. Unaingia vipi nyumba ya mungu nusu uchi, some respect people!
 
Yaani inashangaza kweli. Dunia sasa inapoteza mwelekeo, mume anaruhusu hicho kivazi, kanisani nako anaingia namna ile na anaruhusiwa, hilo kanisa nalo lina walakini. Lol!

Hawa hawakufungia Church!Lazima itakuwa ni kwenye garden!!
 
3630426.jpg


Daah, hii nilikuwa sijaona Arooo!!! Picha safi sana dada zangu hii jamani. Eeehh bana wee, yaani mtindi nje nje, lohh!!!

I wish ningelikuwepo hapo na kibuyu cha maziwa, ningelikamua kidogo na kunywa. Mmmhh mmmhh mmmhh!!!

Urusi jamani ni hatari, Saint Ivuga, vipi hii harusi ilikupitia kushoto au ndiyo ulikwenda kumfunda kimwana kabla ya harusi?

Huyu atakuwa lazima Tatiana "Kudadadek'a" Mtindiyeva.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom