Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,912
- 30,253
- Thread starter
- #181
Mjamaa,1. Udini hautakufanya uonewe huruma.
2. Issue ya Udom hujui chochote, bora ukae kimya tu.
3. Funga bakuli lako, historia ya ukombozi wa TZ tunaijua pia.
Hapana haja ya matusi.
Mimi ningependa sana unieleze yaliyotokea UDOM kwani wewe unaifahamu vyema.
Kuhusu historia ya ukombozi unayoielewa wewe ni ipi?
Mimi ndiye niliyesahihisha ile ya Chuo Cha CCM Kivukoni kwa kitabu cha Abdul Sykes.