Gaudensia Kabaka:19% ya Watanzania hawana ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gaudensia Kabaka:19% ya Watanzania hawana ajira

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by boybsema, Oct 13, 2011.

 1. b

  boybsema Senior Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ndg wanaJF, nimeshangaa sana asubuhi hi wakati waziri wa kazi na ajira wa Tanzagiza alipokuwa anahojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu idadi ya wadanganyika wasio na kazi,akathubutu kusema ni asilimia 19 tu hawana kazi.

  Wakati huo huo mwenzake wa Kenya anasema ni asilimia 60 ya Wakenya hawana kazi. Wadau hi imekaaje? Maana nimejiuliza maswali lukuki kuhusu hizi takwimu, amezitoa wapi na ametumia vigezo vipi?

  Kihoja kingne ni pale nilimsikia akisema wizara yake inajitahidi sana kuwatafutia vijana kazi hata nje ya nchi.
   
 2. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kazi huwa kazi pale kazi inapokuwa siyo kazi. kabaka ana kazi kwa vile kazi aliyonayo siyo kazi.

  Kazi kweli kweli!!
   
 3. M

  Maengo JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan natamani kucheka kwa hasira! Wadanganyika walioko kwenye formal employment pekee hawazid 6%....! Sasa amewazje kujua ni Wadanganyika wangap wako ktk informal employment kias cha kuweza kupata idadi kamil ya wale ambao hawana ajira kabisa?
  sishangai sana kwa sababu hata aliyemuweka hapo ni kilaza kwa hiyo na yeye anajitahidi kula na kipofu!
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jamani tusimlaumu kwani ndivyo Tanzania Integrated Labour Force Survey Force 2006 inavyosema. Tena inasema kwa kutumia national definition unemployment rate ni 11% kwa kuanzia miaka kumi na kuendelea! Rural areas unemployment is 7%, DSM 31% other urban areas 16%, all urban areas 27%. Lakini kwa figures hizi unemployment rate itakuwa 34% (rural plus urban).

  Tatizo kubwa hapa ni uwezo wa huyo mama kusoma na kuelewa message inayotolewa na statistics, pia methodology iliyotumika kupata haya matokeo itakuwa sio appropriate.

  Kwa kifupi yawezekana hakuelewa swali na kujikuta akitoa statistics za other urban areas ambayo ni 16%. Shame on her!
   
 5. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hilo ndilo jibu sahihi la swali au mshangao wetu!!
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Unless ana defination yake ya ajira vinginevyo naweza kusema ni 19% ndio wenye ajira.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyu mama ameongea asubuhi BBC eti Tanzania 19% ya wananchi ndo hawana ajira.
  Hivi ni kweli asilimia hiyo ya wa TZ ndo hawana ajira?
   
 8. N

  Ndole JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu mama si alikuwa mwalimu tena wa walimu. sasa hawezi hata kusoma takwimu ama kweli Tz yetu hii.
  JK alisema hajui kwa nini nchi ni masikini hivo tusimlaumu huyu mama kwa saana
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hawajaeleweka kabisa. Wananchi waliopo ktk formal sector sidhani kama wanafika 10%.

  Sijui formula gani aliyotumia kupata hiyo 19%.
   
Loading...