Gaudance Lyimo Avamiwa na Majambazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gaudance Lyimo Avamiwa na Majambazi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Aug 20, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Wakuu niko nje ya jiji la Arusha naomba kupewa taarifa eti yule meya mwenye utata jijini Arusha eti amevamiwa na majambazi na ametishiwa kuuwawa! mwenye taarifa naomba aiweke hapa tafadhali.
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni mchezo wa siasa, bila shaka anataka umma umhurumie na kuhisi chadema wanahusila. Anapata malipo ya watendo yake
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mmmmhh! Ngoja wenyewe watakuja!
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Mtu kama umefika hatua ya kutishiwa na majambazi nadhani tuuu ni bora kuepusha shari na kuachana na mambo kadhaaa kama unafanya biashara ya kuwadhurumu watu nao watakuja kukutishi kwenye week point yako esp Madaraka ya Mayor ili ijulikane ni Political Issues au kama ni Political Issue na wewe ni mcha Mungu unaonaje huo uchaguzi uliokupitisha je ni halali au? nakama kweli sio halali basi achia hayo madara kwanini ung'ang'ania kupoteza uhai na vitisho visivyo na malengo yoyote.

  Nadhani hapa kunadhana ya Limo mweneywe ajichunguze je ni kweli hao majambazi wametumwa au wamekuja kivyao kwa advantage ya Political Issues ya hapo Arusha au?
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Ni lile kundi linaloongozwa na yule aliyetajwa na Zombe?
   
 6. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hapana ni lile la waliotoa roho za wachimba madini wasio na hatia chini ya uongozi wa Zombe
   
 7. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona unapindisha maneno.
  Hata mi nimewaza huyu mh. "jambazi" anaweza kutuma kikosi chake kifanye kazi.
   
 8. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Masaburi at work, huwezi kuja na hoja ikajadilika hata siku moja? hata katika familia yako unatumia hichohicho kufikiria jambo? kama ni hivyo pole
   
 9. F

  Fidi Member

  #9
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  lyimo si aachie umeya wenye utata
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kumbe katishiwa tu kuuwawa bila kukombwa chochote,,,basi hao sii majambazi bali ni watu wenye nia njema nae cha muhimu ajichunguze matendo yake nijuavo ARUSHA cha mtu hakidhulumiwi bure.
   
 11. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  wabongo bana badala ya kupiga cm polisi we unaanza kusafu, haya mkuu taarifa imetufikia.
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nyama kuliko mtori kahe mkulimA ahonga njaa kwakweli inamaliza tumbo kitakuchwe kuchwe sielewi kabisa mbuche ni nini!!
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  naona hapa hakuna alietoa jibu sahihi kila mtu anaendeleza tetesi badala ya kutoa data kamili..
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  no comments
   
 15. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />

  We Ndallo vipi, nina amini arusha kuna wana jf wengi tu, na kama kungekuwa na tukio hilo bila shaka wangeshaleta habari hapa kabla ya wewe uliye mbali kuuliza, kwa hiyo kama umesikia tukio ni vyema kulithibitisha kabla kuingia jf na kutuuliza sisi. Habari yenyewe hata hujatuambia ulikoitoa, wenyewe wanaulizaga SOURCE PLEASE!
   
Loading...