Gas ya mtwara na kigoma

MAHORO

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
7,585
2,568
Ndugu eana jf napenda kuuliza kwamba... Hivi miradi mikubwa ya gas inayofanyika mtwara na utafiti ukiendelea kigoma itatusaidiaje watz ili tuondokane na matumizi ya mkaa yanayoharibu mazingira kwa hali ya juu.?
 
Back
Top Bottom