Gas na Mafuta ni Manufaa au ni Laana kwa Taifa la Tanzania?

Khawarizm

Khawarizm

JF-Expert Member
205
0
Selikali izingatie mambo muhimu yafuatayo:

1) Ownership of reserves and the product
2) Knowledge sharing training and development of Tanzanian Manpower
3) Social investment, development and benefits for the affected areas and its people
4) Taxation regime on the foreign investors to the maximum
kahtaan
 
Last edited by a moderator:
wabara

wabara

JF-Expert Member
1,510
0
Alkhawarzm,
Habari kaka, hiki ndo tunachohitaji watanzania kuelimika kupitia hapa Jf,

Members, najua wapo baadhi hapa wataanza kutoa matusi bila kwendana na uhalisia,

Ombi kama waona upeo wako kuchangia katika issue nyeti na mujimu kwa mustakbali wa taifa letu kwa ujumla, tafadhali kuwa msomaji tu si lazima uchangie eti ndo uoneshe nawe umo humu,

Its only for the great thinker ,

Ni maoni tu ya kuekana sawa
Ahsante.
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
17,512
2,000
Mkuu Khawarizm kama serikali yetu itaweza kufikiri na kuzingatia hayo uloyaweka hapo juu. Basi nadhani nchi yetu itakuwa nambari moja barani Africa
Lakini kwa masikitiko nadiriki kusema kuwa killa ulichokitaja hapo juu ni TOFAUTI KABISA na serikali yetu inachokifanya!!

Mifano ni mingi mno.

Wageni kumiliki sehemu nyeti za kitalii na viwanda.

Knowledge sharing ndio usiseme kabisa. Wenye kupewa kipaumbele ktk hilo ni watoto wa wakubwa na wale wemye ma refaree kwenye wizara husika.

Social development zinafanyika kule ambako wakubwa wanakotoka na sio effected area!
Na hili pia linatizamwa mpaka kwenye ngazi za udini!!

Taxation! ??
This is good one. Wageni wanakuja hapa. Wanachuma to the maximum!
Halafu wanapewa misamaha ya kodi isio na kiasi.

Halafu kinachouma zaidi ni kwamba ukiangalia hizo point hapo juu na ukweli uliopo hapa kwetu TZ basi unakuta walioathirika zaidi na hayo ni WAISLAMU.

Najua kuna watu wataanza kutoa kashfa lkn huo ndio ukweli!
Tazama mtwara, badala ya gesi kuwafaa wananchi, sirikali imeamua kuwapeleke walafi ili wazidi kuneemeka!
Angalia Zanzibar! Pesa za msaada zije halafu Wao wapewe only 4% asilimia 96% ya msaada ibaki TANGANYIKA!
HAKI IKO WAPI??
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom