Gas kg 15 kutoka 45,000 hadi 55,000 hadi 70,000

Haya yote wanayajua, na pengine TOL (wanaotuuzia shares hapo DSE) wana uwezo huo. Lakini mazingira haya ya umeme kupanda, gesi kupanda, mishahara kutoka na migomo hapa na pale ni dalili kuwa pesa ya Dowans inatafutwa kulipa deni.
 
LPG storage nchini ni ndogo na matumizi ya LPG yamekuwa kwa kasi kubwa. Supply yake inahitaji forecast ya kueleweka ingawa inaonekana kama matumizi yamepanda kupita makadirio.Hata hivyo upatikanaji wa meli zinazoleta LPG nchini nao ni tatizo nahivyo kuleta usumbufu wa mara kwa mara kwa kukosekana gas.
Nafikri TIPER wangeweza kuwekeza katika stogare ya LPG gas ili kuondoa tatizo hili in future. Kuyaachia makampuni ya mafuta tu tena mengi ya kigeni, tutatengeneza tatizo kubwa la supply za gas.Bei ya gas ni lazima iwe reasonable maana hatuna tena nishati mbadala. I believe serikali, kupitia EWURA inaliangalia tatizo hilo kwa mapana zaidi

Mbona mtendaji wa EWURA alishakiri kushindwa kudhibiti bei ya gesi kisa iko kwenye soko la dunia!
 
Back
Top Bottom