Garissa: Six GSU officers killed in Al Shabaab attack after their vehicle ran over an explosive device

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
Maafisa 6 wa Kijeshi wa kitengo cha General Service(GSU) wameuawa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Liboi

Kamishna wa Kaunti ya Garissa, Jodhua Chepchieng amesema Maafisa wengine watatu wamejeruhiwa ambapo Afisa mmoja yupo katika hali mbaya, wote wamesafirishwa kwa ndege kuelekea Nairobi kwa matibabu

Maafisa hao 9 walikuwa wanafanya doria katika eneo la mpaka kati ya Kenya na Somalia

Hii si mara ya kwanza kwa maafisa wa Kijeshi kufariki kwa kukanyaga mabomu katika eneo hilo, Mwaka jana Mei Maafisa wanne walifariki baada ya gari lao pia kukanyaga bomu
========

Six officers from the General Service Unit (GSU) were killed in Liboi after the vehicle they were in tripped a landmine.

One other officer was critically injured and two more are in stable condition, Garissa County Commissioner Joshua Chepchieng said.

They were airlifted to Nairobi where they will receive further medical treatment.

The nine of them were on patrol along the Kenyan-Somalia border at 8am when their vehicle hit an Improvised Explosive Device (IED).

According to the commissioner, the officers were approaching Liboi when the explosion occurred causing the vehicle to roll several times.

Last year in May, another four GSU officers were killed when their vehicle also ran over an IED.


The Kenya Defense Forces (KDF) and GSU are part of the multi-agency team fighting the war in Somalia.

Patrols along the Kenya-Somalia border are part of their mandate as they seek to ward off retaliatory attacks by al Shabaab.
GSU.jpg
 
Duh, poleni sana kwakweli, hili tatizo linakuwa sugu, ipo haja ya kuangalia mara mbili
 
Hivi kenya iliwatibua nini Alshabab mpaaka haya yote yanatokea?

R.I.P
Hawa jamaa najua historia yao. Kabla ya kenya kuingia somalia, alshababi walikuwa walikuwa wakiingia sana kenya na kufanya mauaji, lakini wakenya waliishia tu kuongea na serikali haikufanya chochote. Sasa alshababi wakaua mfaransa mmjo hivi huko kenya. Hii iliwauma sana wakenya mpaka wakatangaza kupeleka jeshi somalia. Sasa wakenya wameahindwa vita somalia lakini wanaogopa kurudisha jeshi lao kenya. Cha ajabu mfaransa mmjo ni muhimu kuliko wakenya waliokuwa wakifa. Jamaa hovyo sana hawa.
 
Poleni sana that oil consignment to Mombasa should also be expecting this.
 
Back
Top Bottom