GARIBLA KUNUNUA KWA BAJETI YA 13MIL

S

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Messages
632
Likes
706
Points
180
S

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined May 4, 2015
632 706 180
Wakuu kama title inavyosema...naombeni maushauri na maujuzi ...Gari gani itanifaa kwa hiyo bajeti ya 13m...

N.B: uwezo wa kununua mafuta ya 20k kwa siku ninao,msinishauri gari ambalo bila mafuta ya 30k haliwaki...
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,731
Likes
766
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,731 766 280
Kaka, Mafuta ya 20,000 kwa siku hafu unanunua gari la Millioni 13? Wewe wa Level za Millioni 20.

Chagua hapa:
TOYOTA
-Altezza kama unapenda sports
-Corola Models (runx, allex, corola x, etc)
-Carina SI or TI
-Rav4
Mark X

NISSAN
XTrail

BMW
3 Series E46

EDIT: Swali lako ni too general lakini. Ungesema at least unapenda aina gani sisi tufananishe. Au ata muundo wa gari unazopend.

Ila kama unapenda Sports cars au showoff za teenagers, chagua BMW E46, Altezza, Subaru Legacy, Mark X,

Kama unapenda gari tu la kukutoa point A kwenda B performance na handling na u-comfortable kwako sio issue, chukua Carina, IST, Corolla, Allion,

Kama unapenda roho ngumu, chukua Nissan XTrail au Rav 4

Wadau wataongezea.

Kama una hela ya mawazo, huwezi kutoa hela ya maintanance kama 500,000 kwa pamoja, usichukue gari isiyo na Logo ya TOYOTA.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako...kuna mtu amenambia premio new model ni nzuri sanaaa...akasema na allion pia sio mbaya vipi kati ya hizi mbili premio na allion unanishauri ipi?
Though my dream car ni rav 4 new model ila naona parefu sanaaa pesa ya madafu shida tuu
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,731
Likes
766
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,731 766 280
Asante mkuu kwa ushauri wako...kuna mtu amenambia premio new model ni nzuri sanaaa...akasema na allion pia sio mbaya vipi kati ya hizi mbili premio na allion unanishauri ipi?
Though my dream car ni rav 4 new model ila naona parefu sanaaa pesa ya madafu shida tuu
Aliekushauri Premio au Allion kakushauri vizuri sana na lolote kati ya hayo mawili ni chaguo jema.

Allion (all in one) na Premio zote zilikua introduced 2001 na zina generations mbili tu. 2001 hadi 2006 ni generation ya kwanza na 2007 hadi sasa ni ya pili, unayosema new model nadhani.

Sasa tujue kwanza tofauti zao.

Premio kidogo nimore executive sedan na more luxurious kuliko Allion, hii Allion ni ya vijana coz ipo sport zaidi.

Gari zote zipo FWD na 4WD, na kuna machaguo ya 1.5L, 1.8L na 2.0L engines.

Kwahiyo wewe jiangalie umri wako na unapenda showoff go for Allion au kiutu uzima/executive daka Premio.

Kuhusu model, mi najua hizi new model, 2007 to present zitakua gharama sana. Ila kwa muonekano hazina tofauti sana na old model (2001 - 2006).

Kwa ilo fungu, kupata Allion au Premio model ya kwanza rahisi sana. Besides, hizi new model ni chache sana hapa mjini.

PS: Kwa hiyo bei ukitaka kuchukua Rav 4 utakua limited kununua 1st generation Rav 4, za mwaka 1994 - 2000. (Kuna generation 4 za hii kitu). Engine yake ni 2.0L 3S-FE na 3S-GE BEAMS. Gari hii haina haja ya kuiongelea sana coz nadhani unaijua ila inanguvu sana kwa matumizi ya kawaida (3S-FE zina120hp na 3S-GE BEAMS ina 170hp) na ni FWD na zipo 4WD.

Hii gari wanaiita roho ya paka kwasababu ina elements za Carina na Corolla na ndio maarufu sana hapa Tanzania. Ila ndani sio Luxury sana na technology/Audio system kidogo outdated.
 
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
7,080
Likes
9,278
Points
280
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
7,080 9,278 280

Nimeipenda shule yako
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,010
Likes
4,579
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,010 4,579 280
hemb na mm nijuzeni kuusu spacio vp ni gari nzuri na bei zake show room
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,731
Likes
766
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,731 766 280
hemb na mm nijuzeni kuusu spacio vp ni gari nzuri na bei zake show room
Spacio ni gari nzuri pia, na ni familia ya Corolla kwahiyo ugumu na availability ya spare parts sio tatizo kabisa.

Kuna old model (E110) za mwaka 1997 -2001, ni nzuri na hizi model ya pili E120 za mwaka 2001 hadi 2009 na model ya mwisho AR10 ni adimu kidogo.

Kama umegundua, naming code zake zinaendana na series ya corolla na nadhani unajua jinsi corolla zilivyo durable cars.

Kuna machaguo ya 1.6, 1.8 na 2.0L engines, na FWD na 4WD pia.

Show room za bongo zinaenda kuanzia 11M Old Model (E110) hadi 14M model ya E120. Sijawahi kuziona AR10.
 
kagwima

kagwima

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
660
Likes
476
Points
80
kagwima

kagwima

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
660 476 80
Spacio ni gari nzuri pia, na ni familia ya Corolla kwahiyo ugumu na availability ya spare parts sio tatizo kabisa.

Kuna old model (E110) za mwaka 1997 -2001, ni nzuri na hizi model ya pili E120 za mwaka 2001 hadi 2009 na model ya mwisho AR10 ni adimu kidogo.

Kama umegundua, naming code zake zinaendana na series ya corolla na nadhani unajua jinsi corolla zilivyo durable cars.

Kuna machaguo ya 1.6, 1.8 na 2.0L engines, na FWD na 4WD pia.

Show room za bongo zinaenda kuanzia 11M Old Model (E110) hadi 14M model ya E120. Sijawahi kuziona AR10.
Mkuu upo vizur saana umeish JPN nn?
By the way hongera kwa kuwa na ujuz huu kutusaidia tusio jua haya mambo ya magar be blessed
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,763
Likes
19,325
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,763 19,325 280
Mkuu upo vizur saana umeish JPN nn?
By the way hongera kwa kuwa na ujuz huu kutusaidia tusio jua haya mambo ya magar be blessed
Kwahiyo Wajapan ni ndio wanaojuwa magari? Akili za wapi hizi?
 
Forum statistics

Threads 1,235,572
Members 474,641
Posts 29,227,477