Gari

MAFIA

New Member
Dec 5, 2009
4
1
Habari wapendwa.natafuta gari ya aina yeyote ya kutembelea lakini isizidi m4.na iwe katika halinzuri.
 
Mafia gari zipo mbili zote zinatembea kabisa na kwa uhakika
1.Discovery 300 tdi
2.Mark II Grande

Bei ni hiyo hiyo,Kama uko serious nakupa namba yangu kwenye PM yako unitafute
 
With 4 Mil ondoa maneno haya "na iwe katika hali nzuri" kwenye message yako utapata gari!! Kinyume na hapo utapata gari ambayo haijalipiwa ushuru na kusajiliwa i.e. CIF price!

Mafia starehe gharama, kama bado hujajipanga anza na pikipiki mpwa ni full AC 24/7!!
 
Nina Escudo milango mitano iko katika hali nzuri sana, bei ni millioni 5, if you are interested will send you photos
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom