Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,336
- 3,653
Mkuu Kuna Industrial production of gases lazima wachague njia Bora zaidi, hapo faida kubwa inaangaliwa kwenye kuchagua njia ya uzalishaji. Njia unayoichagua wewe kujaza tanki kubwa lile tani kadhaa gharama za uzalishaji zitakuwa kubwa na hakutakuwa na faida.Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide
Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?
Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vitu o vyake vya kujazia viko wapi?
Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu mitaani kukusanywa wapumlie carbon dioxide kwenye mfano mifuko ya plastic waenda wakamuuzie Azam?
Wataalamu wa sayansi karibuni mjibu