Gari za M4C zinaendeshwa very rough!

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.

Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?

Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.
 
....umesahau...kitu kingine...watu kushangilia kila wanapoyaona.....Nasikia .....watu wa Arusha wameomba kuyasukuma barabarani kama mchango wao!!!!...... pia wanaomba brand nyingi zaidi za M4C....ili wabandike kwenye magari, bodaboda, mikokoteni, nk......

Barabara za arusha kati ziko kwenye ukarabati.na hiyo inapelekea jiji kuwa na jam kila kona sasa sijui wewe umetoa wapi hizi habari.ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu ndugu yangu
 
Mkuu hata mimi nimeiona moja mida ya jioni ila mbona ni speed ya kawaida kabisa? Mjini unaweza tembea na 180 kweli?
 
samahani mkuu, hii ni hoja nyingine ya nape baada ya hoja ya kadi kufifia?naomba kujuzwa
nyie ndio wauaji wa chadema, mtu yeyote anyekupenda anakuambia ukweli, we mjinga, mm ni mwanachama wa chadema tokea wewe hujui chadema ni nini! Lakini siwezi kukaa kimya mali za chama changu zinapoharibiwa na wapumbavu wachache. Kama unafikiria jf ni sehemu ya porojo na utani, nadhani hauko sawa, ila mm sifanyi propaganda, kamera yangu kuna mtu nimemuazima ningeweka picha hapa!
 
Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.

Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?

Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.
Sasa wewe unadhani vuguvugu la mabadiliko ni kwenda kwa mwendo wa lelemama au?, lazima spidi.
 
ford tu mambo yapo ivo je wakipewa benzi zile za state house itakuwaje? wanaendesha washapuliza kitu cha arusha, zitachakaa kabla ya 2015, au mmeahidiwa zingine before 2015? chadema bana mnaniacha hoi yaani mtu anatoa tahazari ya maana kama hiyo anabezwa ha ha ha ha haaaaaa hala hala msije tugongea watoto wetu au mkatuparua na vimkweche vyetu, hatuhusiki na
 
Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.

Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?

Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.
Ndo tatizo la vitu vya bure, hayo magari hatamudu hata kukaa mwaka mmoja, yatakula mzinga tu.
Mimi nimepishana nayo Morogoro/zmikumi yakiendeshwa kwa fujo.

Lakini kwa vile David Cameron yupo, jamaa hawana wasi wasi.
 
ford tu mambo yapo ivo je wakipewa benzi zile za state house itakuwaje? wanaendesha washapuliza kitu cha arusha, zitachakaa kabla ya 2015, au mmeahidiwa zingine before 2015? chadema bana mnaniacha hoi yaani mtu anatoa tahazari ya maana kama hiyo anabezwa ha ha ha ha haaaaaa hala hala msije tugongea watoto wetu au mkatuparua na vimkweche vyetu, hatuhusiki na
hivi state house wanatembelea benzi BMW? ni swali tu.afu umewahi ziona gari za mwenge? tanzania ina wilaya kama 120 na tarafa na kata unataka watembee kama wako kwenye jama za moro road?
 
Wakuu naombeni kuuliza kwani gari ikiendeshwa kwa kasi inachakaa haraka?Mie naona gari ikiendeshwa mbio ndio safi manake unaokoa mda ule ambao ungepoteza barabarani unafikia malengo yako ya kufika apema maeneo tarajiwa.Mbona masafara wa rais magari yanaenda kwa kasi sana na hamna mtu analalamika kuwa magari yatachakaa?Kwani kwenye manual za hizo gari zinasema waende speed gani 5km/hr?.Watanzania tuache kulalamika lalamika hata kwa vitu ambavyo sio vya msingi.Mie nawasghauri MC4 waendelee na speed hiyo hiyo hakuna kupunguza mpaka kieleweke.
 
Gari si baiskeli, hujui kwamba magari yanaenda kasi!

Kaa mbali Na barabara usije ukapitiwa
 
Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.

Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?

Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.

Kuna ambayo imeua mpaka sasa? Maana kuna misafara ya wakubwa inaua kila kuchwa.
 
Mbona unakitakiaa chama chako balaa?
Ndani ya hilo gari akiwemo Dr Slaa, Mbowe au Lema utasema hivyo?
Kuwa na thamani na ubinadamu bwana, aka!
 
Back
Top Bottom