Gari za FFU zimemwagwa Ubungo hadi Kimara

Hivi gari sita(6) na polisi zinaweza kuzuia nguvu ya Umma!!!!!!, polisi wasijidanganye katika hilo nijuavyo mimi ni kwamba Sisi Wananchi bado ni majoga sana, labda tutafanya hivyo mpaka itakapofikia mahala CCM wakaamua kwenda mbali zaidi na kutupapasa sehemu zetu za kukalia.

Nguvu ya umma ipo wapi wewe? nguvu ya umma na wabunge 23...

Hizo gari 6 ni chambo tu jitokezeni muone mizigo yenyewe imepaki Lugalo inasubiri amri tu..

Ndio mtajua nidhamu ya Jeshi la polisi Tanzania ni kubwa kiasi gani
 
Nauliza hivi, Jeshi hili huwa linakuwa wapi wakati wakazi wa maeneo ya Mbezi-Kimara, Mbezi Juu na hata Tegeta (to name a few) wakiwa wanavamiwa na kuuwawa na majambazi? Inakuwa vipi rahisi sana kwao kuzuia maandamano ya Vyama vya Upinzania lakini ngumu kwao kuzuia ujambazi?!!!!

Mkuu,hawawezi kujizuia wenyewe.
Nani alikwambia kuna tofauti kati ya polisi na jambazi?

Mchana wanazuia vyama vya upinzani kufanya kazi zao,..
usiku wana tafuta hela ya ziada kwa kuvamia raia.

POLISI == UJAMBAZI
 
we umepungukiwa na fikira tena maisha yako ni ya kuombaomba rushwa nani asiyejua maisha ya police nyumba kama kibanda cha njiwa halafu leo unaamuriwa kupga raia wanaodai haki unajitia kimbelembele ajabu utakuta askari kiatu kimeenda upande unajua most of police ni wale form four waliochemsha wanakuwa hawana option ya kufanya ndo wanaamua kwenda huko wanafiki wakubwa ninyi tena ipo siku yatawakuta makubwa si mnaishi mitaani kama sisi unajua kila kitu na wakati wake nashukuru wanajeshi wengi hawapendi ujinga kama policcm wanavofanya ujinga na upambavu basi iwasaidie elimu angalau

hivi kwa akili yako unadhani polisi wote ni form 4? Am young and energetic and a graduate frm a respected university with a CPA..nina cheo na maisha safi na mshahara wangu ni mkubwa,fanyeni maandamano 2NAWANYUKA.
 
Maandamano hayo sio ya CHADEMA tu BALI YA WATANZANIA WOTE WALIOCHOKA KUNYANYASIKA KWENYE NCHI YAO WENYEWE

Gap ni kubwa MNO - KWENYE KEKI YA TAIFA ...................WENGINE WANAKULA HADI WANAVIMBIWA ...WENGINE WANAPATA "KIDUCHU" WENGINE HAWAPATI KABISAAAAAAAAAAA
WAMEKULA NA VIPOFU ..............ILA WAMEKOSEA WAMEWASHIKA VIPOFU MKONO ................NA WAMESTUKA ........SASA VIPOFU WOTE TUNAONAAAAAAAAAAAAAAAAAA NA TUMECHOKA
MAANDAMANO HOYEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
How much are you earning per month? mnakaa kwenye vijumba vya mabati fullsuti utafikiri kuku halafu mkiambiwa nendeni kuwapiga...you don't even think about ur right....Idiot

am earning more than u think...we are goin 2 shw u dat no one is above the law..KANYAGA PIGA HAO AFANDE MWITA.
 
hivi kwani utawala wa sheria umewachosha watanzania???chadema wanatumia umaskini na njaa za watanzania kuvunja sheria zilizowekwa na serikali,,basi kama ni hayo ningependa jeshi lichukuwe nchi then hapo ndipo tutaonana vizuri...
 
kama dk 15 nimepita hapo kona mbele
ya baruti, kuna raia kama mia hivi pamoja na waendesha pikipiki wamejikusanya na kuna bendera za chadema zimefungwa, naona na paparazi tayari wako kazini
 
Serikali zote za nchi za Afrika zinatumia nyenzo dhaifu kuwazima wapinzani wao nazo ni polisi, jeshi na mahakama. Tanzania sio ya kwanza waache wa paste.
 
Ina maana hawa Policcm hawana shughuli nyingine ya kufanya zaidi ya kuzuia maandamano ya Chadema! Mbona kuna Uhalifu mwingi tu unaoendelea mitaani ikiwamo kukatwa mikono Albino na hatujasikia wahusika wakikamatwa! Au shughuli ya hawa Policcm ni kuzuia tu maandamano ya kudai haki!

pia na wezi wa rasilimali zetu wapo nao hawataki kuwakamata wanabaki kuwakandamiza wanyonge wanaodai haki zao
 
Vipi na kwenye ile Route Vijana wa CCM waloomba wapite na maandamano yao FFU wako??
Au wako kwa hiyo route ya CHADEMA tu??
Wanaonyesha wazi hao FFU wametumwa na nani.
 
Ukombozi wa nchi yetu nauona uko karibu, cdm piganieni haki yetu wanyonge tunaokandamizwa na mafisadi
 
Nakuja na mizinga yangu ya nyuki, nikifika naitupia ndani ya hizo defender za hao piliccm, mtaona kitakachofuata hapo
 
hivi kwani utawala wa sheria umewachosha watanzania???chadema wanatumia umaskini na njaa za watanzania kuvunja sheria zilizowekwa na serikali,,basi kama ni hayo ningependa jeshi lichukuwe nchi then hapo ndipo tutaonana vizuri...

red n bolded: walau unaonyesha una akili timamu. Sasa kuna ubaya gani mtu kujaribu kuwasaidia au kwaelza wananchi vyanzo vya umasikini wao? Hamna akili nyie na ni wapumbavu kweli kweli magamba!
 
Back
Top Bottom