jacobcm8
Senior Member
- Apr 10, 2014
- 173
- 122
Gari ina matatizo yafuatayo yaliyotokea ghafla
1. Taa za dashboard haziwaki ukiweka switch on hata gari likiwaka
2. haipig honi
3. ukiwasha indiketa haioneshi chochote
4. Ukikanyaga breki inawaka taa ya indicator ya kushoto kwenye
dashboard
5. Wiper hazifanyi kazi zmestop ghafla...
6. feni zote hazizunguki (ya rejeta na AC mwanzoni ulikuwa ukiweka switch on znazunguka saivi hamna kitu
7. Vioo haviteremki wala kupanda
8. Radio haiwaki kabisa
Tatizo laweza kua ni nini wataalamu?