Gari yangu Toyota Rav4 ina matatizo yafuatayo yaliyotokea ghafla

jacobcm8

Senior Member
Apr 10, 2014
173
122
Gari ina matatizo yafuatayo yaliyotokea ghafla

1. Taa za dashboard haziwaki ukiweka switch on hata gari likiwaka

2. haipig honi
3. ukiwasha indiketa haioneshi chochote
4. Ukikanyaga breki inawaka taa ya indicator ya kushoto kwenye
dashboard
5. Wiper hazifanyi kazi zmestop ghafla...

6. feni zote hazizunguki (ya rejeta na AC mwanzoni ulikuwa ukiweka switch on znazunguka saivi hamna kitu
7. Vioo haviteremki wala kupanda
8. Radio haiwaki kabisa

Tatizo laweza kua ni nini wataalamu?
 
Hapo kwenye fusebox mbele kuna fuse ya men itakuwa imekata au iliungwa kwaiyo mpk uiguse tena....check
 
Fuse ya watu ( men )itakuwa imekata????.Iliungwa kwaiyo ina maana iliunganishwa na kwaiyo.Kwaiyo ni ndoo kifaa gani mkuu???.Ushauri wa huyu bwana ni mgumu mno kwa sababu lugha alioiongea anaijua yeye peke yake.
 
Kwenye fusebox mbele kuna fuse kubwa ambayo ikiwa imekatika ndio usababisha yote hayo ana kuna mafundi wa waya uwa na tabia ya kuiunga waya kwaiyo mpk uiguse guse iyo waya iliyo Ungwa....au ukiona ujanielewa tafuta fundi waya
 
Nashukuruni mana mmenisaidia mno nmefix kwa muda mwenyewe kutokana na eneo nlilopo but nmegundua ni fuse nyingi ziliungua na waliziunga direct but iyo moja iliyoandikwa 10 kwa juu ndio ilikuwa tatzo kubwa bada ya kuexchange na 10 nyenzake rrdio ikawaka dashboard kadhalika izo fuse zipo kwenye eneo la dereva pale ndipo nlipo fungua nakuhakiki moja baada ya ingine ....nawashukuruni mnooo wataalamu
 
Lakini kiswahili hukiwezi kabisa naona wewe sio Mtanzania.
 
Mimi ninayo Rav4 old model pia, tatizo ni gear box inagonga sana wakati nabadili from drive to reverse , nimekuwa sina raha na hiyo gari, nipo Arusha. Sijui natibu vipi tatizo?
 
Gari ina matatizo yafuatayo yaliyotokea ghafla

1. Taa za dashboard haziwaki ukiweka switch on hata gari likiwaka

2. haipig honi
3. ukiwasha indiketa haioneshi chochote
4. Ukikanyaga breki inawaka taa ya indicator ya kushoto kwenye
dashboard
5. Wiper hazifanyi kazi zmestop ghafla...

6. feni zote hazizunguki (ya rejeta na AC mwanzoni ulikuwa ukiweka switch on znazunguka saivi hamna kitu
7. Vioo haviteremki wala kupanda
8. Radio haiwaki kabisa

Tatizo laweza kua ni nini wataalamu?
Hii gari inatembea mkuu?
 
Nashukuruni mana mmenisaidia mno nmefix kwa muda mwenyewe kutokana na eneo nlilopo but nmegundua ni fuse nyingi ziliungua na waliziunga direct but iyo moja iliyoandikwa 10 kwa juu ndio ilikuwa tatzo kubwa bada ya kuexchange na 10 nyenzake rrdio ikawaka dashboard kadhalika izo fuse zipo kwenye eneo la dereva pale ndipo nlipo fungua nakuhakiki moja baada ya ingine ....nawashukuruni mnooo wataalamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom