Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Ilianza tu ghafla kuwa kuna wakati naendesha inakata mafuta. Nikapeleka kwa fundi akasema ni pump ya mafuta tukabadilisha.ikaendelea pia kwa muda flan pia inakata hivyo hivyo baada ya mwendo flan inazima inabidi niipark then niiwashe baadaye kidogo fundi tena akasema ni pump nikabadilisha.
Ikawa tena inatembea smetme inazima nawasha naendelea na safari leo imewaka baada ya muda ikazima. Na imegoma kabisa kuwaka. Ni kama mafuta hayapandi.fundi kaangalia pump anasema ipo fresh. Anasema itakuwa control box. Je kuna mtu ana uzoefu na jambo hili kwa Toyota Ipsum old model?