Gari yangu inavuma tairi ya mbele kushoto

Kaka hio haiwezi ikawa ni bearing... tairi yako inaweza kuwa ina decibels (sauti) kubwa. Hii inayokana na kuwa na shata ndefu.

Jaribu kulihamisha tairi la huo upande lipeleke nyuma kisha angalia kama bado litakua linatoa sauti hapo mbele.

Ikiwa umebadilisha na sauti bado ipo basi hap ni bearing ya huo mguu.. inawezekana waliyobadilisha ikawa ni mbovu.

Jitahidi kununua spare mpya kabisa kama una uwezo kidogo au angalau iliyo na uhakika. Achana na hili neno "spare used ni nzuri" chukua spare ya uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kama taa ya ABS haijawaka, kama imewaka peleka kwa fundi akirekebisha hilo na taili litaacha

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Steph JK , hebu tupe somo hapo.... umenigusa.

Gari yangu kwa sasa inavuma sana, yaani nafunga vioo full AC lakini mvumo unasikika, na ni kama upande wa kushoto nyuma.

Hapo awali niliwahi badilisha rubber ya driving shaft. Iliyokuwepo ilicrack na kuvuja, ndo fundi akaweka rubber nyingine na kujaza grease.

Hivi majuzi, taa ya ABS iliwaka kwa muda mfupi sana kama umbali wa kilomita 2 hivi. Asubuhi nilipowasha gari taa ya ABS haikuonekana tena, ikapotea hadi sasa.

Mvumo sio wa kawaida, upo juu hadi kero utadhani unaendesha lori. Nikahisi labda ni tairi, maana zilikuwa zimeisha. Nikaweka tairi mpya zote nne. Lakini bado gari inavuma mno. Kuanzia speed 60 tu au speed 80 kuendelea.

Lakini pia kule kwenye engine, ikishapata moto inatoa mlio wa kugonga hivi, yaani kama sauti ya kugonga hodi....'kohkohkohkoh'. Hako kamlio ni kwenye silencer/idle. Ikiwa kwenye mwendo hakasikiki.
 
Ukipata jibu nitag mkuu
 
Bearing umecheki
 
Bearing umecheki

Mkuu Myahudi Jr II , nimepiga jeki tairi zote na kutikisa tairi moja moja. Naona hakuna mlegeo wowote kwenye ringi.

Ila nilipozungusha tairi za nyuma, zinatoa mlio kama mkwaruzo wa padi hivi, sina hakika ni breke padi, lakini tairi za nyuma zote mbili zinatoa mlio wa mkwaruzo.

Mwezi mmoja uliopita, taa ya ABS iliwaka mara moja tu kwa umbali wa kilomita 2 hivi kisha ikatoweka.

Nikiendesha gari, mvumo ni mkubwa kuanzia spidi 60 kuendelea. Speed inavyoongezeka na mvumo unaongezeka.

Taa ya cheki engine haijatokeza. Yaani sijaona taa yoyote mpaka sasa.

Cc: Steph JK .
 
Mkuu Steph JK , hebu tupe somo hapo.... umenigusa.

Gari yangu kwa sasa inavuma sana, yaani nafunga vioo full AC lakini mvumo unasikika, na ni kama upande wa kushoto nyuma.

Hapo awali niliwahi badilisha rubber ya driving shaft. Iliyokuwepo ilicrack na kuvuja, ndo fundi akaweka rubber nyingine na kujaza grease.

Hivi majuzi, taa ya ABS iliwaka kwa muda mfupi sana kama umbali wa kilomita 2 hivi. Asubuhi nilipowasha gari taa ya ABS haikuonekana tena, ikapotea hadi sasa.

Mvumo sio wa kawaida, upo juu hadi kero utadhani unaendesha lori. Nikahisi labda ni tairi, maana zilikuwa zimeisha. Nikaweka tairi mpya zote nne. Lakini bado gari inavuma mno. Kuanzia speed 60 tu au speed 80 kuendelea.

Lakini pia kule kwenye engine, ikishapata moto inatoa mlio wa kugonga hivi, yaani kama sauti ya kugonga hodi....'kohkohkohkoh'. Hako kamlio ni kwenye silencer/idle. Ikiwa kwenye mwendo hakasikiki.

kaangalie cone n main bearing zinaweza kuwa zimeisha au detonation itakuwa imatake place so kupelekea nocking so safisha piston head, cylinder head n kubadilisha spark plug
 
Mkuu Steph JK , hebu tupe somo hapo.... umenigusa.

Gari yangu kwa sasa inavuma sana, yaani nafunga vioo full AC lakini mvumo unasikika, na ni kama upande wa kushoto nyuma.

Hapo awali niliwahi badilisha rubber ya driving shaft. Iliyokuwepo ilicrack na kuvuja, ndo fundi akaweka rubber nyingine na kujaza grease.

Hivi majuzi, taa ya ABS iliwaka kwa muda mfupi sana kama umbali wa kilomita 2 hivi. Asubuhi nilipowasha gari taa ya ABS haikuonekana tena, ikapotea hadi sasa.

Mvumo sio wa kawaida, upo juu hadi kero utadhani unaendesha lori. Nikahisi labda ni tairi, maana zilikuwa zimeisha. Nikaweka tairi mpya zote nne. Lakini bado gari inavuma mno. Kuanzia speed 60 tu au speed 80 kuendelea.

Lakini pia kule kwenye engine, ikishapata moto inatoa mlio wa kugonga hivi, yaani kama sauti ya kugonga hodi....'kohkohkohkoh'. Hako kamlio ni kwenye silencer/idle. Ikiwa kwenye mwendo hakasikiki.
Hii gari ina matatizo makubwa tafta fundi wa uhakika akufanyie checkup ya kueleweka
 
Habarini,
Gari yangu rav 4 injini manual 3s inavuma mguu wa mbele kushoto ma kuna wakati inaacha nimenadili bearing wapi,naombeni msaada kwa hili tatizo.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho:-

Kuna mafundi ni pasua kichwa tuwe makini.

Nimeweza kupata fundi kasulu kigoma kijana mdogo tu anaitwa Nayi alichofanya ni kubadili bearing na kufunga nuts za disc rotor kumbe zilikuwa hazikufungwa
 
Back
Top Bottom