Gari yangu inatoa moshi mweupe mwingi kama wingu naomba msaada

peleka kwa Mafundi Wazuri afungue cylinder head Inawezekana umeunguza cylinerhead gasket na block kabisa Inawezekana Ukipata Moto sana ikaungua ama block kupasuka
 
waza siku maji ya bahari yakaongezeka mita 13.4 kutoka usawa wa bahari
Mleta Uzi atakuwa amekosea
Wadau mbona mmenikimbia kiaina okoeni jahazi waungwana karibia narudi safarinii
Huko kwenu hakunaga mafundi gari?
Utapata ushauri lukuki hapa lakini mwisho wa mwisho lazima uwatafute fundi mechanics. Kama ni kuongeza knowledge kuhusu matatizo ya magari sawa.
Tafuta mafundi wakusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa ila nimeleta hii mada hapa ili kupata ABC lengo ni pindi nikianza matengenezo nijue pa kuanziaa boss .
Mafundi wako wengi na wababaishaji ni wengi mno
 
Mleta Uzi atakuwa amekosea

Huko kwenu hakunaga mafundi gari?
Utapata ushauri lukuki hapa lakini mwisho wa mwisho lazima uwatafute fundi mechanics. Kama ni kuongeza knowledge kuhusu matatizo ya magari sawa.
Tafuta mafundi wakusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi wapo Ila kutaka kujua abcd za tatizo inakuwa mwanzo mzuri hata unapozungumza na mafundi by the way nimeshawapeleka mafundi hawa was chini ya miti wananichanganya na majibu yao YANATOFAUTIANA SANA SANA kiasi cha kunipa mashaka ndo maana nikaja hapa kwa WATAALAMU mnipe mwongozooo
 
Uza kama scrap tu.

Magari Japan wameyaweka yaende "scrap yard" nyie.mnataka mtumie mpa watoto waje kurithi!

Miaka mitatu umekaa nalo bila tatizo, tosha, uza scrap nnuwa lingine.
Haka kaushauri kako kila nikikaangalia nafurahi sana natamani kukaona mda wotee
 
Inawzekana maji yameingia au oil inachanganya na mafuta.nenda kwa fundi
 
Back
Top Bottom