Gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji

Inakaa karibu na nn? ipo kwenye bonet pia?
Ndugu mie sio fundi wa magari ila niliwahi pata hilo tatizo nikalisolve kwa kufunguliwa hiyo ELECRONIC IGNITION SYSTEM ikasafishwa na kufungwa upya. Hilo zoezi hata wewe unaliweza mradi uwe a bisibisi ya star tu.
IMG_20191203_222231.JPG
IMG_20191203_215524.JPG

Niliambiwa hii 'distributor' haitaki kuwa hata na unyevu, ikiupata utakesha gari haiwaki!.
Wajuzi watakwambia kanapokaa kwenye gari yako!!..
 
Ndugu mie sio fundi wa magari ila niliwahi pata hilo tatizo nikalisolve kwa kufunguliwa hiyo ELECRONIC IGNITION SYSTEM ikasafishwa na kufungwa upya. Hilo zoezi hata wewe unaliweza mradi uwe a bisibisi ya star tu.
View attachment 1280920View attachment 1280933
Niliambiwa hii 'distributor' haitaki kuwa hata na unyevu, ikiupata utakesha gari haiwaki!.
Wajuzi watakwambia kanapokaa kwenye gari yako!!..
Asante sana brother
 
Kwa Maelezo yako nadhani ni vyema ukaangalia timing belt
Jamani nina gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji , gari ina mafuta na moto unafika kwenye injini, naomba ushauri nini kinaweza kuwa tatizo hapo?
 
Ndugu, kuna jamaa anasema aliwahi kupata hilo tatizo. Alihangaika kubadili hiki na kile. Wakaja kugundua ni waya wa ground haijakamata inavyotakiwa. Pia anashauri cheki ECU kama earth ziko sawa

Sent from my SM-G928C using Tapatalk
 
Tatizo kama hilo lilinitokea jana nilipaki gari fresh muda wa kuondoka gari ikagoma kuwaka nikadhani labda betri imenyonya nikabustiwa lkn wapi basi nikamwita fundi wa umeme alikagua baadae akagundua kuna relay njia zake zilikata, akaibadilisha safari ikaendelea hadi sasa ipo poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani habari za leo, tatizo la gia box kuchelewa kuchanganya haraka wakati gari inaanza mwendo, shida inaweza kuwa ni nini? Ushauri tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza kufanya cheki kiwango cha atf kwenye gia box. Fahamu gari lako linatakiwa kuwa na kiasi gani.

Umefanya service ya gia box? Kama ndiyo waliweka specified aft ya hiyo gia box na je walibadili filter? Ama wamekujazia dextron ii kama kawaida yao?

Sent from my SM-G975F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom