Ni Auto or manual?Naomba kusaidiwa gari yangu inakosa nguvu mlimani na inamisi kwa mbali nashindwa nifanyaje mana nimepeleka kwa mafundi lakini tatizo bado lipo aina ya gari NISSAN NOTE
Somo hili halina uhusiano na PASSO
Hive karibuni ratizo hili lili nikumba pia, Fundi alinitaka nibadilishe fuelpump na plug, baa ya kubadilisha tatizo limeishaKuna sababu nyingi kwa gari kukosa nguvu. Gari yako haina nguvu hata kwenye tambarare kwa kuwa unapo panda mlima nguvu nyingi ina hitajika ndo maana unahisi na kusikia haina nguvu
Kwanza kabisa
1. angalia fuel pump yako kama ni nzuri
2. angalia spark plug zako
3. angalia sparl plug cables kama nzuri
kujuwa kama sparrk plug zako nzuri au zina toa moto nje fanya yafuatayo. Giza likiingia zima, fungua boneti ya gari yako, ita mtu akusaidie kukanyaga accelerator wakati huohuo wewe akuangalia kwenye eneo la spark plug, ukiona cheche zina ruka nje juwa kabisa zina tema moto nje badirisha. kwa cable nakushauri nunua genuine na mpya sio used ziwe zote
Ha ha ha ha.....Somo hili halina uhusiano na PASSO
Mkuu hapo No.1 siyo kwamba unamaanisha injector pump au carburetor kama ni petrol engine?!Kuna sababu nyingi kwa gari kukosa nguvu. Gari yako haina nguvu hata kwenye tambarare kwa kuwa unapo panda mlima nguvu nyingi ina hitajika ndo maana unahisi na kusikia haina nguvu
Kwanza kabisa
1. angalia fuel pump yako kama ni nzuri
2. angalia spark plug zako
3. angalia sparl plug cables kama nzuri
kujuwa kama sparrk plug zako nzuri au zina toa moto nje fanya yafuatayo. Giza likiingia zima, fungua boneti ya gari yako, ita mtu akusaidie kukanyaga accelerator wakati huohuo wewe akuangalia kwenye eneo la spark plug, ukiona cheche zina ruka nje juwa kabisa zina tema moto nje badirisha. kwa cable nakushauri nunua genuine na mpya sio used ziwe zote
Duuuuh.gari ya dar hyo sijui kwanin vitu vyote vya dar havina nguvu kuanzia wanaume wa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahanini gari langu aina ya kirikuu lina kosa nguvu hasa wakati napand mlima nisaidien nijuw tatizo ni nn