Gari ya ndoto yako. Dream car.

Haka bwana! Ntakapata tuuu..
suzuki_swift_a1252912202b3026660_3.jpeg
 
Huu ni uzi maalum kwa sisi tusio na magari ila tunatamani siku moja tumiliki magari. Kila mmoja wetu ana ndoto ya kumiliki gari. Gari kali. Full kiyoyozi.


Mimi binafsi naizimia sana landrover discovery. Nikipata nyeusi aisee nitakua nimetimiza ndoto yangu ya siku nyingi. Hapa najipanga hadi kufikia julai 2020 niwe namiliki hiyo ndinga kali. Napigana kufa kupona niipate.

Wewe ndoto yako ni kumiliki gari gani na baada ya muda gani?
Toyota Land-Speed-Cruiser VX-R V8
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    38.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom