Gari ya Lissu iliyopigwa risasi inaweza kuwa ni kivutio kwa wengi na kumbukumbu nzuri kwa tukio lile la kusikitisha

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,986
144,313
Sometimes huwa nawaza badala ya kulifanyia matengenezo gari la Lissu lillomiminiwa risasi zaidi ya 30 kama Tembo, ni bora gari lile likahifadhiwa mahali, ikiwezekana hata makao makuu ya chama, ili libaki kama kumbukumbu ya tukio lile la kusikitisha.

Wanaweza kutoa engine na vifaa vingine vya thamani na lile gari likachwa kama lilivyo ili kutunza kumbukumbu ya tukio lile.

Shambulio lile halikuwa shambulio kwa Lissu pekee,bali ilikuwa shambulio kwa watu wote wapenda demokrasia na wazalendo wa nchi hii.

Gari lile kama halijafanyiwa matengeneo na ukaamua kulihifadhi na hata kutoza kiasi kidogo cha fedha kama shilingi 500 kwa anaetaka kuliona, nina hakika watu watakuwa tayari kulipia na pengine kurudisha kiasi fulani cha fedha ya matibabu iliyotumiwa na chama ama familia kumuuguza.

Kwasababu uchunguzi bado,naamini hata lile gari litakuwa limeachwaaa kama lilivyo ili lije kutumika wakati wa uchunguzi na kuandaa ushahidi wa kupeleka mahakamani wakati ukifika.

Tukubali lile tukio halikuwa la kawaida na mpaka sasa limevuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi kwahiyo ni muhimu liwekee kumbukumbu kadri inavyowezekana.
 
Kabisaa ni moja ya maajabu ya:-
-kustajabisha
-Kushangaza
-Kuhuzunisha
-Kufikirisha

Kwa vizazi na vizazi inaweza kuwa kumbukumbu ya historia yakweli kwa Jabali la sheria na siasa Tanzania haijapata kutokea the great.....Tundu Antipasi Mng'wai Lisu
 
Yericko Nyerere saidia kufikisha hili wazo kwa uongozi wa chadema,wazo ni zuri sana,liwekwe sehemu maalumu ili Watu wawe wanaenda kuona na kulipia,lihifadhiwe ili vizazi vijavyo waweze kuona hiyo kumbukumbu,kwani ni maajabu ya mungu kwa gari kupigwa zaidi ya risasi 38 na watu kutoka wazima na mmoja bila hata kuguswa na risasi na mwingine kujeruhiwa na kuweza kupoteza damu zaidi ya 90% na kupona.
 
Sometimes huwa nawaza badala ya kulifanyia matengenezo gari la Lissu lillomiminiwa risasi zaidi ya 30 kama Tembo, ni bora gari lile likahifadhiwa mahali, ikiwezekana hata makao makuu ya chama, ili libaki kama kumbukumbu ya tukio lile la kusikitisha.

Wanaweza kutoa engine na vifaa vingine vya thamani na lile gari likachwa kama lilivyo ili kutunza kumbukumbu ya tukio lile.

Shambulio lile halikuwa shambulio kwa Lissu pekee,bali ilikuwa shambulio kwa watu wote wapenda demokrasia na wazalendo wa nchi hii.

Gari lile kama halijafanyiwa matengeneo na ukaamua kulihifadhi na hata kutoza kiasi kidogo cha fedha kama shilingi 500 kwa anaetaka kuliona, nina hakika watu watakuwa tayari kulipia na pengine kurudisha kiasi fulani cha fedha ya matibabu iliyotumiwa na chama ama familia kumuuguza.

Kwasababu uchunguzi bado,naamini hata lile gari litakuwa limeachwaaa kama lilivy

Tukubali lile tukio halikuwa la kawaida na mpaka sasa limevuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi kwahiyo ni muhimu liwekee kumbukumbu kadri inavyowezekana.
Wewe jamaa unaweza ukawehuka jitathmini please!!
 
Sometimes huwa nawaza badala ya kulifanyia matengenezo gari la Lissu lillomiminiwa risasi zaidi ya 30 kama Tembo, ni bora gari lile likahifadhiwa mahali, ikiwezekana hata makao makuu ya chama, ili libaki kama kumbukumbu ya tukio lile la kusikitisha.

Wanaweza kutoa engine na vifaa vingine vya thamani na lile gari likachwa kama lilivyo ili kutunza kumbukumbu ya tukio lile.

Shambulio lile halikuwa shambulio kwa Lissu pekee,bali ilikuwa shambulio kwa watu wote wapenda demokrasia na wazalendo wa nchi hii.

Gari lile kama halijafanyiwa matengeneo na ukaamua kulihifadhi na hata kutoza kiasi kidogo cha fedha kama shilingi 500 kwa anaetaka kuliona, nina hakika watu watakuwa tayari kulipia na pengine kurudisha kiasi fulani cha fedha ya matibabu iliyotumiwa na chama ama familia kumuuguza.

Kwasababu uchunguzi bado,naamini hata lile gari litakuwa limeachwaaa kama lilivyo ili lije kutumika wakati wa uchunguzi na pengine mahakamani kama sehemu ya ushahidi wakati ukifika.

Tukubali lile tukio halikuwa la kawaida na mpaka sasa limevuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi kwahiyo ni muhimu liwekee kumbukumbu kadri inavyowezekana.
Lile tukio huwa nikilikumbuka moyo wangu unakwenda mbio sana. Lilikuwa tukio la kutisha , wanadamu tumekuwa katili kama wanyama. Any way MUNGU anajua cha kufanya.
 
Sometimes huwa nawaza badala ya kulifanyia matengenezo gari la Lissu lillomiminiwa risasi zaidi ya 30 kama Tembo, ni bora gari lile likahifadhiwa mahali, ikiwezekana hata makao makuu ya chama, ili libaki kama kumbukumbu ya tukio lile la kusikitisha.

Wanaweza kutoa engine na vifaa vingine vya thamani na lile gari likachwa kama lilivyo ili kutunza kumbukumbu ya tukio lile.

Shambulio lile halikuwa shambulio kwa Lissu pekee,bali ilikuwa shambulio kwa watu wote wapenda demokrasia na wazalendo wa nchi hii.

Gari lile kama halijafanyiwa matengeneo na ukaamua kulihifadhi na hata kutoza kiasi kidogo cha fedha kama shilingi 500 kwa anaetaka kuliona, nina hakika watu watakuwa tayari kulipia na pengine kurudisha kiasi fulani cha fedha ya matibabu iliyotumiwa na chama ama familia kumuuguza.

Kwasababu uchunguzi bado,naamini hata lile gari litakuwa limeachwaaa kama lilivyo ili lije kutumika wakati wa uchunguzi na kuandaa ushahidi wa kupeleka mahakamani wakati ukifika.

Tukubali lile tukio halikuwa la kawaida na mpaka sasa limevuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi kwahiyo ni muhimu liwekee kumbukumbu kadri inavyowezekana.
Sio gari tu Mkuu,
Ki Ujumla hii Nchi yenyewe nzima nzima tukiamua kutoza kiingilio wageni kuja kushangaa yanayotokea humu nchini, mapato tutakayopata tunaweza kua Donor Country ndani ya muda mfupi tu nadhani
 
Hata kwenye kampeni linafaa sana kulipakia kwenye kichanja na kuzunguka pamoja na msafara wa atakayegombea urais.
 
Back
Top Bottom