Gari ya Kukodi

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau
natafuta gari ya Kukodi kwa siku 7..gari yangu imepata shida na itakua tayari baada ya siku 7.Gari yoyote ndogo kama premio,vits,porte etc.Gari itatumika hapa Dar kutoka nyumbani kwenda kazini upanga.Budget ni elf 25 kwa siku na mafuta juu yangu.Naombeni msaada huu.0689900000
 
Mkuu unataka ukaoshee Moshi na gari ya watu nini mkuu,hahah.Ni utani chief
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom