Natafuta gari ya kukodi Dar

london1

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
430
942
Habari zenu mabibi na mabwana,

Natafuta gari ya kukodi Dar kwa muda wa wiki mbili au nne kutegemea na makubaliano. Nitakuwepo hapo Dar mwezi huu mwishoni, kama kuna mtu ana kampuni au anajua mtu/ watu wanaokodisha naomba anijuze pamoja na aina ya gari na bei. Siitaji dereva, ni gari tu.

Thanks in advance.
 
Makampuni watakupa bei kubwa nenda kwenye yadi za magari pale Kijitonyama makumbusho, au nenda Kinondoni, au Msasani karibia na TMJ Hospital wanakodisha magari
 
Weka ofa mkuu! Ila pia ni vizuri ukisema unahitaji gari gani mana mpaka Tipa zipo
 
Natafuta tipa ya esabu fuso tan4 nalipa kwa wiki laki 6 matengenezo madogo madogo yote yakwangu ariekua nayo anicheki 0765313915 niko Dodoma naitaji kwajili ya kiwanda cha matofali
 
Natafuta tipa ya esabu iwe fuso tan4 nalipa kwa wiki laki 6 ila matengenezo madogo madogo yote yakwangu niko Dodoma ariekua nayo anicheki 0765313915 naitaji kwajili ya kufanyia kazi kwenye kiwanda cha matofali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom