Gari ya kukodi dar

L

london1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Messages
210
Likes
210
Points
60
L

london1

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2011
210 210 60
Habari zenu mabibi na mabwana,natafuta gari ya kukodi dar kwa muda wa wiki mbili au nne kutegemea na makubaliano. Nitakuwepo hapo dar mwezi huu mwishoni,kama kuna mtu ana kampuni au anajua mtu/watu wanaokodisha naomba anijuze pamoja na aina ya gari na bei,Siitaji dereva ni gari tu.
Thanks in advance.
 
Mulimila dole

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Messages
223
Likes
242
Points
60
Mulimila dole

Mulimila dole

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2016
223 242 60
Makampuni watakupa bei kubwa nenda kwenye yadi za magari pale Kijitonyama makumbusho, au nenda Kinondoni, au Msasani karibia na TMJ Hospital wanakodisha magari
 
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,073
Likes
1,115
Points
280
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,073 1,115 280
Habari zenu mabibi na mabwana,natafuta gari ya kukodi dar kwa muda wa wiki mbili au nne kutegemea na makubaliano. Nitakuwepo hapo dar mwezi huu mwishoni,kama kuna mtu ana kampuni au anajua mtu/watu wanaokodisha naomba anijuze pamoja na aina ya gari na bei,Siitaji dereva ni gari tu.
Thanks in advance.
Weka ofa mkuu! Ila pia ni vizuri ukisema unahitaji gari gani mana mpaka Tipa zipo
 
Forum statistics

Threads 1,237,036
Members 475,401
Posts 29,276,163