Car4Sale Gari ya kazi inauzwa

Bei mbaya. Labda hujafikiria 32 milions inaweza nunua nini kingine. Kwa pesa hiyo unaweza pata Nissan Civilian 'mpyaa' kutoka Japan.
Au Mitsubishi Canter; ambazo ni gari za uhakika. Hiyo ni ndoa ya Kikristo mkuu!
Samahani mkuu, hivi kwako unapotumia neno 'mpyaa' unamaanisha nini? Yaani ukapate Civilian mpya kwa 32?
 
Bexb General8 Wakuu karibuni tufanye biashara. Au kama mko na ushauri wowote.
Gari nzuri mkuu labda tu wadau wametishwa na body. Ngoja jijaribu pia kuwashirikisha na wadau wangu watoto wa mjini. Natumain gari ipo Dar na haina shida yoyote pia bei inaweza kutikisika maana hiyo ni bei ya Canter tani mbili second hand ya Japan
 
Nashukuru Mkuu. Kuhusu bei mazungumzo yapo. Tuwasiliane kwa 0787521897. Gari ipo Dar
 
Ila coca cola imewapa hasara watu wengi sana hii gari ili uiuze vizuri badili hilo bodi mkuu.
 
Bei yake hiyo mkuu sidhani Kama ni rafiki kwa gari hiyo.magar saiz yameshuka Sana
 
Nashindwa kuelewa kwanini haitoki. Nimetafuta madalali wa humu, lakini wameshindwa kuiuza. Labda kama yupo dalali unayemfaham nisaidie mawasiliano yake
Kuna mganga nafahamiana naye yuko Iringa ni kiboko kuna dawa akikupa lazima mzigo uuze leo leo hata kama gari ni bovu.
Mie mwenyewe huyo mganga kanisaidia sana kwenye biashara yangu ya majeneza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom